Utakuja kujuta nakuambia hutamwacha na huwezi. Nilimwomba dem moja nizae nae ingawa kwa sasa ameolewa lakini anasumbua hasa, gharama za mtoto nimebeba mimi yeye na mmewe wanahangaikia wtt wao. Na demu mwingine nae mwaka huo huo 2009, aliniomba nizae nae yaani km vile anajiweza mda huo lakini cku hizi hana ajira nimejikuta ananitegemea kiaina ingawa si asilimia zote lakini bado ni kero coz nina mtoto pale afu yeye anatumia mtt km ngao yake..... Maanake hizo huduma hazitakoma mda wako wote km unaipenda damu yako. Ila km huipendi we zaa nae afu usepe zako km dume la ngombe vile.