Valentina
R I P
- Oct 12, 2013
- 24,688
- 28,834
Kuna wenye experience huko juu wamekufafanulia zaidiNifafanulie basi rafiki yangu
Kuna wenye experience huko juu wamekufafanulia zaidiNifafanulie basi rafiki yangu
Kwani lazima mkubali kupelekeshwa na mchepuko...na kwani ni lazima uwe na mchepuko wakati mnalalamika maisha magumu...nonsense! !!Sasa tufanyeje wakati nyie mnataka
Hii tabia inashamiri sana, mnatuzalia watoto wasio na wazazi wa kuwalea kwenye maadili (familia). Kidogo kidogo tunakuwa kama mataifa mengi ya kimagharibi, watoto wanalelewa na mzazi mmoja.
Akili yako imekaaa kiganga kiganga sana huwezi elewa mambo makuuuUnauhakika gani kuwa wewe siyo kilaza kwa haya uliyo andika hapa !
Lazima useme hivyo ila tambua afadhali mimi nimesema KULIKO YULE AMBAYE HASEME NA HAYA YAPO NA HATA KWAKWO YAPO SIKU UKIGUNDUA NA MWENZIO AMESHAFANYA UTALIA NA ULIMIEti naye anajiita mwanaume.?? Mwanaume gani anayetegemea ushauri wa watu kufanya jambo yn lenyewe ni jinga kiasi kwamba haliwez pima effect za akitakacho...daaah wanaume wa siku hizi wacha tu wageuke mashoga ..eti kaniomba mimba...
Seriously. ......mshahara wa dhambi n mauti hizo dhambi zitawatafuna..ht km c leo kesho..mtoa mada ni .......
Utanisamehe
naomba namba yake tafadhali kama hautojali.Haya ni maajabu ya mchepuko wangu kiukweli ni mzuri na ana diploma fulani hivi lia bado hana kazi na tulikutana mwezi wa tatu mkoani na nikamweleza fika kuwa nina MKE NA WATOTO WATATU .
Sasa anadai ananipenda sana na anataka tuzae mtoto mmoja tu by the way mimi kakazi kangu na kamshahara wa laki mbili nikadhani anatania kumbe yupo seriously.
Nikampa swali baada ya kuzaa inakuwaje akadai we muhudumie mwanao tu sihitaji kingine na nikamuuliza una mpango gani na kaz huna akadai mwaka huu mwishoni anaenda kuchukua bachelor na anataka mwezi wa tatu mwakani awe na mtoto.
Mchepuko wenyewe una miaka 23 na sasa hayo ndo madai yake ya mtoto nikadhani labda ana kamimba kamtu mwingine nikaenda mpima hana na leo asubuhi na mapema ananiuliza vip ombi langu yaani ni kero.
Sasa nashindwa kuelewaa kama kuna mtu alishakutana na haya tu share kidogo
Nadhani mkeo ni member wa JF 😀😀😀Usithubutu mkuu hapa mwenzio naishi kwa mashaka.
Kuna mwanamke nilikuwa naye zamani kabla sijaoa ila tukapoteana for a certain time yeye alienda Zanzibar kutafuta maisha mimi nikabaki hapa hapa naendelea kustruggle . Milima haikutani ila binadamu tunakutana mwaka jana mwezi wa pili tulikutana so tukakumbushia mchezo ila akatoa ombi kama hilo akasema tayari nina kazi yangu so nahitaji mtoto na wewe ndio nilikuwa nategemea unipatie huyo mtoto.Nikamwambia tayari nina ndoa sitoweza kuwahudumia familia mbili though uwezo huo ninao akadai yeye anachohitaji ni mimba tu ila mtoto na yeye mwenyewe watajilea coz hana shida ya pesa.Nikaingia mkenge kama Nyumbu nikamkubalia sasa hivi bado hajajifungua ila mimba ina miezi 7 napata tabu sana mara anataka niende nikalale kwake ananiomba niweke zamu kama vile nimeoa wake wawili. So mpaka niogopa kuhusu mke wangu akijua hili nitaweka wapi sura yangu.
Nakuomba mkuu usikubali kufanya huo uamuzi utaishi katika wakati mgumu sana.
Kwa sababu ya ukilaza wenu, ndiyo mana huwa tunapiga hela tu!Akili yako imekaaa kiganga kiganga sana huwezi elewa mambo makuuu