Sijaelewa
Sent from my BlackBerry 9800 using JamiiForums
Wala hautaelewa Mkuu, we soma uyaache kama yalivyo huyu mleta uzi nina hakika hajafuata ushauri wa dr vizuri.
‎
1,Kifo ni nini?
2,nini kinatokea baada ya kifo?
3,Ipo siku binadamu atashinda kifo?
*Haya ni maswali ambayo yanasumbua akili ya binadamu mwenye akili timamu*.
>Picha hii ni moja ya picha zilizotengenezwa na binadamu zikionyesha jinsi binadamu anavochukulia kifo.Picha hii inaeleza jinsi kifo kilivyo kibaya na cha kutisha.
>Kwa sasa dunia ina watu zaidi ya bilioni saba(7) lakini watu walio katika makaburi au walio kufa ni zaidi mara nyingi kuliko bilioni 7 walio hai leo.
>Katika nyakati zote za uwepo wa binadamu duniani pamoja na kufanya maendeleo makubwa duniani,mfano;Kijamii,Kiuchumi,Kitamaduni,Kiroho na hasa sayansi na tekinologia bado binadamu hajaweza kupata mbinu za kushinda kifo.
>Binadamu tunakufa kwa sababu tofauti, mojawapo ni kama vile;Magonjwa,Ajali,Majanga hasa yale yanayosababishwa na mabadiliko ya hali ya hewa, lakini kubwa zaidi ni kitendo cha binadamu mwenyewe *kukubali kufa*
>Tunakubali kufa kivipi? na kuna kosa lolote? jibu ni NDIYO.
Kosa moja wapo kati ya mengi ni
*kitendo cha binadamu kuamini kuwa atakufa,wote tukubaliane bila ubishi kuwa mratibu wa matendo ya mwili wa binadamu ni UBONGO.Hivyo basi kitendo cha ubongo kukubali kufa maana yake ni sawa na kwenda kucheza mechi huku matokeo unayajuwa.
>Mimi naamini binadamu akijifunza njia sahihi za kushinda kifo na kukiepuka anaweza kuishi milele.Ushahidi wa kisayansi na hata ule wa kiroho unaonyesha hivyo.Njia moja kati ya hizo;
*Watu wakatae mafundisho yote yanayohubili ushindi wa kifo*
>Maneno kama;Mungu ndie anajua,kazi ya Mungu haina makosa yanaonyesha udhaifu na kukata tamaa.Ndugu zangu hata Mungu hapendi watu dhaifu anataka watu wanaojiamini na kujitoa kwa ajiri ya wengine kama yeye afanyavyo, yeye si dhaifu na kwake wadhaifu hawataingia kamwe.
>Tulio hai tusikubali kufa,tukikatae kifo na tupambane nacho kwa njia zake zote na tukubali kuwa ipo siku tunaweza kuishi hata milele bila kufa
organs
To die is to be absent from this body
Mkuu atawale mara ngapi?Duhh kuna jamaa wana jua kumuudhu muumba, hivi tujiule kama kusinge kua nakufa je kunge kua na kuzaliwa? Kwali shetani kesha shinda nafs za watu wengi. Naomba mungu aniondoe duniani kabla lusifa aja tawala dunia, ameeeeeen
Nilichokuwa nakiona makaburini tukienda kuzika ni kuwa mwezi wa kuzaliwa na mwezi wa kufa haupishani kwa zaidi ya tatu, kwenye maandishi ya makaburi mengi niliyoyasoma.Wadau nimejalibu kufuatilia na kufuatiliana masuala ya kufa na kuzaliwa
KUZALIWA
mana kwa takwimu mbalimbali inaonyesha watu wengi hujifungua hasa nyakati za usiku kuanzia mida ya kumi jioni na kuendelea mpaka saa nne asubuhi kwa mida ya mchana ni nadra sana
KUFA/KUKATA ROHO.KUAGA DUNIA
Watu walio wengi ambao husumbuliwa na maradhi mbalimbali nao huanza kufa kuanzia nyakati za jioni,usiku mpaka mida ya saa tano asubuh na kama itatokea kufa mchana ni wachache sana
Ivi hiyo mida inauhusiano gani na hayo matukio mawili mana watu hawazaliwi mchana na wala hawaagi dunia mida ya mchana?
Nb.hapo hatujazungumzia ajali
Nathubutu kukuita mpu..mba.vu coz unataka kuanzisha dini yako wewe,bible inadeclare hivyo wewe unapinga?pole sana ndugu yangu,ili kuprove kuwa ukisemacho ni uongo tena mkubwa nenda kalale ktk barabara halafu gari likukanyage kichwa,tutaona.
Nathubutu kukuita mpu..mba.vu coz unataka kuanzisha dini yako wewe,bible inadeclare hivyo wewe unapinga?pole sana ndugu yangu,ili kuprove kuwa ukisemacho ni uongo tena mkubwa nenda kalale ktk barabara halafu gari likukanyage kichwa,tutaona.