Maajabu ya Kanisa Katoliki

Maajabu ya Kanisa Katoliki

ngara23

JF-Expert Member
Joined
Aug 31, 2019
Posts
15,774
Reaction score
35,994
1. Kanisa katoliki halijawahi kuongelea dini yoyote, hata kama ni washindani wao

2. Kanisa katoliki halijitangazi

3. Kanisa katoliki muda wa ibada ni saa 1 hadi 2.

4. Ukiondoka hupigiwa simu hata uasi miaka 10 na ukirudi huulizwi ulikuwa wapi?
5. Hakuna muda wa kutabiri, sijui uponya, fukuza mapepo au majini

6.mahubiri kanisa katoliki ni uniform.
Somo la siku husomwa hilo na hufundishwa hilo Dunia nzima, siyo mambo ya kuoteshwa.

7. Kanisa katoliki Lina Taasisi imara za familia, jumuiya, vigango, Parokia, hadi Jimbo

8. Kanisa katoliki Linatetea watu wote

9. Kanisa katoliki halina unafiki, ukikosea unaambiwa ukweli, ikifanya vyema unasifiwa hadharani

10.kanisa katoliki Lina ushawishi kwenye taasisi za kimataifa. Ukitaka uanguke hata kesho chokoza kanisa katoliki

11. Kanisa Katoliki ndo Dunia,
We guna na bichwa lako bila kisogo,

12. Kanisa katoliki sifa kuu ni kuwa na elimu, siyo kukariri ovyo

13. Kanisa katoliki halifigi majini

14 kanisa katoliki haliongwi ubwabwa

15. Kanisa katoliki haliyumbishwi na mbwa yeyote. Ukiligusa utayumba wewe
 
Maajabu mengine ni haya , wapo very smart
Screenshot_20230221-185819_Chrome.jpg
 
Very smart
 
Hili ni kanisa mama ya makanisa yote si ajabu ya kuwa taasisi imara mpaka pale tafsiri ya uokovu ilivyobishaniwa (ndani ya kanisa) kwamba tunaokolewa kwa neema siyo kwa vipande vya fedha
 
Hayo ndo mambo yanairudisha nyuma Africa

Zamani kulikuwa hakuna mambo Kama hayo na jamii zilikuwa na umoja .

Hawa GEN Z wakiafrica wakipata madaraka wafute dini zote , na mifumo yote ya kizungu Kama demokrasia n.k

Jamii Africa inazidi kudumaa kisa dini zisizo na ukweli wowote .
 
16. Kwa tanzania kanisa katoliki kupitia TEC NI baraza ndani ya chadomo

17. hakuna ambako kanisa katoliki liliingilia serikali amani ikapatikana, ni kuuana mwanzo mwisho.

18. kanisa katoliki si wapatanishi

19. kanisa katoliki linaongoza kuwa na kashifa za kingono

20. kanisa katoliki watumishi wake hususani mapadri na watawa wengne wanaishi kimanyanyaso sana

21. kanisa katoliki ni la wanaharakati wa kibinadamu na si kiroho

22. kanisa la katoliki lina viongozi wa dini na si viongozi wa kiroho.

23. kanisa katoliki haliwezi kufukuza au kukemea mapepo wakati belzebuli yupo ndani yao.

mambo ni meng bas tu..
 
24. Kanisa Katoliki halikuwatuma kuiba kura na kuendesha uchaguzi wa ulaghai

25 kanisa katoliki halikuwatuma kuuwa halaiki ya watu masikini na wengi wakiwa majumbani

26. Kanisa katoliki halikuwatuma mteke na kuuwa Watanganyika ovyo

27. Kanisa katoliki halikuwatuma make mhimili ya serikali hasa bunge na mahakama

28 kanisa katoliki halikuwatuma mbambikie watu kesi za uhaini na Ugaidi

29. Kanisa katoliki halikuwatuma kuuza bandari na Ngorongoro na kifisadi nchi

30. Kuhusu kashfa ya ngono, hebu twambie ni Padre nani alikufir.a
 
Maajabu mengine mashoga pia wanaruhusiwa kuhiji Vatican na kuoana kanisani
Yesu mwenyewe alichili na kupiga stori na kahaba. Humo humo kwenye mastori akahubiri neno la Mungu na mtu akalipokea neno. Huu ndio upendo na si kukemea nguruwe huku kitimoto unapiga, pombe unabugia, uzinzi unafanya, vitoto vya kizanzibar vinatoa nyuma huku mbele vinamtunzia mme bwege.
 
1. Kanisa katoliki hushiriki kuchochea vita vya wenyewe kwa wenyewe sehemu mbalimbali duniani.

2. Kanisa katoliki lilishiriki mauaji ya kimbari Rwanda.

3. Kanisa katoliki lina mapadri wengi wanaolawiti watoto wa kiume.

4. Ni kanisa lililoruhusu ushoga.

5. Lina chuki na uislamu.
 
Kanisa katoliki halikuwatuma muuwe halaiki ya watu
Kanisa katoliki halikuwatuma mbambikie watu kesi za uhaini na ugaidi
Kanisa Katoliki halikuwatuma kuiba uchaguzi na ufisadi
Kanisa katoliki halikuwatuma mfanye utekaji na mauaji holela
Kuhusu kashfa ya ngono hebu twambie ni Padre nani aliwahi kukuingilia?
 
Back
Top Bottom