Maajabu ya Jiji la Dar, Malori ni mengi Barabarani kuliko Watu

smarte_r

JF-Expert Member
Joined
Nov 8, 2013
Posts
4,575
Reaction score
12,186
Kwa sasa kila mkazi wa dar awe mwana ccm, mwanachadema, awe wa no reform no election, awe wa october tuta-tick ana kipata cha mtema kuni kuhusu foleni ya barabarani inayosababishwa na utitiri wa malori, mengi yakiwa made in china.

Kila barabara mpaka zile za mitaani ambazo alizijenga Magufuli kwa kuziwekea lami, zimetapakaa malori.

Imefika wakati hata wale wenye magari madogo ya kutembelea, wanaona bora wapaki wachukue bodaboda wawahi kwenye appointment zao.

Katika barabara ambayo inavunja rekodi ya kuwa na malori mengi ni Mandela Road. siku za nyuma ilikuwa kidogo afadhali, ila siku za hivi karibuni foleni ni mda wote.

Nakumbuka marehemu Magufuli alikuja na mpango wa kutenga eneo kubwa nje ya dar, nadhani ni chalinze ili kujenga bandari kavu sambamba na kutenga eneo lingine wafanyabiashara ya usafirishaji wajenge yard za kulaza magari yao. plan ilikuwa makontena kutoka bandarini yabebwe na treni ya mizigo mpaka eneo hilo, baada ya hapo malori yabebe mkontena hayo kuyasifirisha mikoani na nchi jirani.

Naiuliza serikali ya samia, hii project imeishia wapi?, au baada ya kufariki Jpm na project ikafa?.

Kwasasa hali ya barabara za dar ni mbaya sana, yard za malori zimetapakaa kila pahali. mbaya zaidi zipo jirani na makazi ya watu ambao hutumia barabara za mitaani kama shortcut kufika kwenye main road then wafike maeneo mbalimbali ya jiji kujitafutia mkate wao wa kila siku.

Na nyinyi Waarabu na Wasomali ambao wengi wenu mmewekeza kwenye biashara ya usafirishaji, hamuwezi kujenga yard nje mji?. kuna raha gani kununua nyumba kumi mtaa mmoja wa uswahilini, unazivunja halafu unajenga yard ya kulaza malori?, kwanini msijenge hizo yard nje mji ambako mazingira ni rafiki na salama kwa aina hiyo ya uwekezaji?.

Sitaki kuzungumzia upotevu wa muda na hasara ambayo wakazi wa Dar wanaipata kwa kuchelewa kufika kwenye shughuli zao za kiuchumi. kiufipi tu ni kwamba, mtu ambaye yupo safarini kutoka Morogoro kwenda Kibaha, anawahi kufika kuliko yule anayetoka Mwenge kwenda Magomeni. hali ni mbaya sana.

Habari ifike kwa wahusika. Nawasilisha.
No Reform No Election.
 
Kwa sasa kila mkazi wa dar awe mwana ccm, mwanachadema, awe wa no reform no election, awe wa october tuta-tick ana kipata cha mtema kuni kuhusu foleni ya barabarani inayosababishwa na utitiri wa malori, mengi yakiwa made in china.

Kila barabara mpaka zile za mitaani ambazo alizijenga Magufuli kwa kuziwekea lami, zimetapakaa malori.

Imefika wakati hata wale wenye magari madogo ya kutembelea, wanaona bora wapaki wachukue bodaboda wawahi kwenye appointment zao.

Katika barabara ambayo inavunja rekodi ya kuwa na malori mengi ni Mandela Road. siku za nyuma ilikuwa kidogo afadhali, ila siku za hivi karibuni foleni ni mda wote.

Nakumbuka marehemu Magufuli alikuja na mpango wa kutenga eneo kubwa nje ya dar, nadhani ni chalinze ili kujenga bandari kavu sambamba na kutenga eneo lingine wafanyabiashara ya usafirishaji wajenge yard za kulaza magari yao. plan ilikuwa makontena kutoka bandarini yabebwe na train ya mizigo mpaka eneo hilo, halafu baada ya hapo malori yabebe mkontena hayo kuyasifirisha mikoani na nchi jirani.

Naiuliza serikali ya samia, hii project imeishia wapi?, au baada ya kufariki Jmp na project ikafa?.

Kwasasa hali ya barabarani ni mbaya sana ndg zangu, yard za malori zimetapakaa kila pahali. mbaya zaidi zipo jirani na makazi ya watu ambao hutumia barabara za mitaani kufika kwenye kwenye shughuli zao.

Na nyinyi Waarabu na Wasomali ambao wengi wenu mmewekeza kwenye biashara ya usafirishaji, hamuwezi kujenga yard nje mji?. kuna raha gani kununua nyumba kumi mtaa mmoja wa uswahilini, unazivunja halafu unajenga yard ya kulaza malori?, kwanini msijenge hizo yard nje mji ambako mazingira ni rafiki kwa biashara hiyo.

Ni muhimu serikali ikatekeleza mradi wake wa kuwa na barabara ya malori kutoka kurasini, mbagala, chamazi, chanika kwenda vigwaza. Huu mradi ulifanyiwa upembuzi yakinifu, ni wakati wa serikali kutekeleza sasa.
 
Pesa za kuboresha miundombinu tumepeleka kwenye uchaguzi hewa na feki
juzi kati nimepita kwenye barabara za mtaa fulani ambazo alizijenga magufuli, nimeona zimeenza kupata mashimo. kwa utawala wa huyu mama, sioni dalili ya kuja kufanyiwa ukarabati, pesa yote aliyochukua mkopo ameenda kuitumia kununua urais.
 
Kwa sasa kila mkazi wa dar awe mwana ccm, mwanachadema, awe wa no reform no election, awe wa october tuta-tick ana kipata cha mtema kuni kuhusu foleni ya barabarani inayosababishwa na utitiri wa malori, mengi yakiwa made in china.

Kila barabara mpaka zile za mitaani ambazo alizijenga Magufuli kwa kuziwekea lami, zimetapakaa malori.

Imefika wakati hata wale wenye magari madogo ya kutembelea, wanaona bora wapaki wachukue bodaboda wawahi kwenye appointment zao.

Katika barabara ambayo inavunja rekodi ya kuwa na malori mengi ni Mandela Road. siku za nyuma ilikuwa kidogo afadhali, ila siku za hivi karibuni foleni ni mda wote.

Nakumbuka marehemu Magufuli alikuja na mpango wa kutenga eneo kubwa nje ya dar, nadhani ni chalinze ili kujenga bandari kavu sambamba na kutenga eneo lingine wafanyabiashara ya usafirishaji wajenge yard za kulaza magari yao. plan ilikuwa makontena kutoka bandarini yabebwe na train ya mizigo mpaka eneo hilo, halafu baada ya hapo malori yabebe mkontena hayo kuyasifirisha mikoani na nchi jirani.

Naiuliza serikali ya samia, hii project imeishia wapi?, au baada ya kufariki Jmp na project ikafa?.

Kwasasa hali ya barabarani ni mbaya sana ndg zangu, yard za malori zimetapakaa kila pahali. mbaya zaidi zipo jirani na makazi ya watu ambao hutumia barabara za mitaani kufika kwenye kwenye shughuli zao.

Na nyinyi Waarabu na Wasomali ambao wengi wenu mmewekeza kwenye biashara ya usafirishaji, hamuwezi kujenga yard nje mji?. kuna raha gani kununua nyumba kumi mtaa mmoja wa uswahilini, unazivunja halafu unajenga yard ya kulaza malori?, kwanini msijenge hizo yard nje mji ambako mazingira ni rafiki kwa biashara hiyo.

Sitaki kuzungumzia upotevu wa muda na hasara ambayo wakazi wa Dar wanaipata kwa kuchelewa kufika kwenye shughuli zao za kiuchumi. kiufipi tu ni kwamba, mtu ambaye yupo safarini kutoka Morogoro kwenda Kibaha, anawahi kufika kuliko yule anayetoka Mwenge kwenda Magomeni. hali ni mbaya sana.

Habari ifike kwa wahusika. Nawasilisha.
No Reform No Election.
Cc mrangi Isanga family
 
Lakini Kuna pesa za misaada zilitolewa na "wahisani" kuliboresha Jiji la Dar Es Salaam zilipotelea wapi?
Uzuri watanzania hawafuatilii mambo ya maana wanajua Simba na Yanga zao tu!
Imesaidia kuleta Amani, utulivu na utengamano. Ndo maana Una uhuru wa kujiachia Bilal bughdha JF.
 
Back
Top Bottom