Maajabu ya Jiji la Dar es Salaam

Leo nimeyaona maajabu ya Dar, kila mahali ni mto...........
 
NI jiji pekee ambalo watu wakipata majanga (mafuriko +mabomu) wanapozwa na ubwabwa na kutulia
 
Ni jiji pekee ambalo linafikiriwa kujengewa barabara za juu wakati wengine hawana hata hizo za chini.
 
Ni jiji pekee lenye watu wavivu kuliko majiji yote afrika.
 
Ni jiji pekee ambalo limeharibiwa na wakuja
ni jiji pekee ambalo wenyeji wake hawajaendelea na wanawasingizia wageni kwa ufukara wao kuwa ndiyo chanzo cha ufukara wao wakati wao (wenyeji) wamekalia kusogoa vijiweni na kujipaka rangi mwilini kwa w/wake
 
Ni jiji pekee linaloongoza kipindi cha mfungo wa Ramadhani biashara ya Kitimoto inadorora lakini baada ya mfungo
kumalizika biashara inashamiri Jiulize kwanini????
 
Ilala ni Wilaya Tajiri katika Tanzania.
 
Bila shaka haya yote yamekukuta!.
Mbavu zangu jaman huko Dar(Bongo) hameni. Nipo huku Canada.
 
Ni jiji pekee linaloongoza kipindi cha mfungo wa Ramadhani biashara ya Kitimoto inadorora lakini baada ya mfungo
kumalizika biashara inashamiri Jiulize kwanini????
Walaji wa take away(chips) wauzaji wake na mazingira yao machafu...lakin walaji wanapanga foleni.
Jiulize kwa nini?
 
NI jiji ambalo mchana wa2 wanaingia kwenye daladala MILANGONI ila asubuhi na jioni wanaingilia MADIRISHANI.
 
NI jiji ambalo hakuna Mapinduzi ya kweli yatakayo anzia hapo..coz kama walivyoongea wengine asilimia kubwa ya vijana wa Dar wanapenda fedha pasipo kufanya kazi......na haishangazi kuona karibu majimbo yote isipokuwa mawili tu yalichukuliwa na Chama tawala...
 
Ni jiji pekee ambalo lina joto na kero zote zinazomkabili binadamu kuliko majiji yote duniani.Lakini cha ajabu hata rais anaishi humo
 
kile kipindi cha jiji letu cha itv ilifaa waonyeshe uozo wa jiji hili. Kila kitu kwenye huu mji ni ovyo sana, alaf ndio lango kuu la wageni. Hivi wakienda huko makwao si sifa mbaya kwa watanzania wote!

Kama tu wanaowapokea yaani viongozi wetu walivyo na sifa mbaya ya ufisadi inatosha kwa wageni kwenda kututangaza vibaya
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…