Maajabu ya Jiji la Dar es Salaam

Ndyo jiji linalokuwa kwa kasi ingawa chafu,hata mtoa mada amekimbia kwao yupo Dar anashangaa,watu wake hawapendi siasa uchwara wapo busy kusaka hela,

kWANI ALIYEANZISHA MADA NIrOSTAM? MAANA YEYE NI MZEE WA UCHWARA
 
Yote ya yote sasa tujadili tufanyeje ili hizo sifa tuziondoe maana zote ni mbaya
 
16-ni jiji ambalo wa2 wake wengi ni wezi na mafisadi 17-jiji linaloongoza kuwa na watoto wengi wa mitaani na mateja wengi

Kwa mateja mkuu pale Kabul,Afghanstan ndio kiboko dunia nzima.

Labda DSM inaongoza kwa kua na mateja hapa TZ.
 
Ni jiji pekee linaloongoza kwa watu wanaopenda mipasho., si viongozi wa dini,wana-sihasa,wanataaluma,polisi,wafanyabiashara,mafisadi wote wanamipasho tu kasoro majambazi.
 
Ni jj pekee ambalo lina kambi kibao za jeshi kuliko majj yote dunia
Ni jj pekee lizalisha magazeti ya udaku
Ni jj pekee ambalo lina minara mingi ya sm na tv lakini kuna maeneo akuna mawasiliano kabisa
 
Ni jj pekee ambalo lina minara mingi ya sm na tv lakini kuna maeneo akuna mawasiliano kabisa

Nakubaliana na ww mkubwa. mi niko 2 hapa sinza darajani(uwanja wa TP) network mpk upande juu y mti!! bunyokwa huko si ndio itakua balaa.
 
Ni jiji pekee ambalo tumvua tudogo tu twa siku mbili tu tayari bahari imeongezeka ukubwa kwa kuingia ndani ya nchi kavu!!
Ni jiji pekee ambalo ka vipimo ni dogo sana, labda sawa na nusu wilaya ya mkoa mwingine but kutoka eneo moja mpaka lingine kwa gari ni shughuli pevu sababu ya foleni,
 
Ni jiji ambalo lina maprofesa wengi lakini hakuna impact yoyote......mfano eneo linaitwa Survey linakaliwa na maprofesa wa Ardhi Univ.lakini halijapimwa........
 
Back
Top Bottom