Maajabu ya Jiji la Dar es Salaam

Maajabu ya Jiji la Dar es Salaam

  1. Ni jiji pekee ambalo mtu hujenga kwanza na kuomba kibali baadaye = Ujenzi holela
  2. Ni jiji Pekee ambalo halina building codes katika ya jiji (city center)
  3. NI jiji Pekee ambalo mtu hujenga jengo la hata orofa 18 bila kujenga maegesho ya magari
  4. Ni jiji pekee ambalo mtu akiwa na matofali ya kutosha na viezekeo basi hujenga ghorofa popote -cheki pale Kariakoo
  5. Ni jiji pekee ambalo 80% ya makazi yake ni holela (unplanned)
  6. Ni jiji pekee ambalo ukiwa unatoka katika ya mji umbali hata wa km 10 bado kuna foleni ya kutisha kutoka nje ya jiji kimara, mbezi, tegeta, mbagala)
  7. Ni jiji pekee ambalo 70% ya maeneo yake yananuka kinyesi
  8. Ni jiji ambalo huwa na mito mingi sana kwa muda mfupi wakati wa mvua (kutiririsha choo)
  9. Ni jiji pekee ambalo weekend huwa na foleni kubwa katika ya mji- miji mingi huwa hakuna foleni watu wanaenda mashambani/ picnic etc
  10. Ni jiji pekee ambalo lina nyumba nyingi za wageni kuliko idadi ya wageni wanaoingia jijini- Guest houses nyingi kuliko makanisa na misikiti
  11. Ni jiji pekee ambalo watu wake wengi hawajitambui na hawajui haki zao
  12. Ni jiji pekee Duniani ambalo 95% ya magari ya kuzoa taka yenyewe tu ni takataka
  13. NI jiji pekee ambalo mtu anaweza kuanzisha baa, ukumbi hata katikati ya makazi ya watu bila shida
  14. NI jiji Pekee ambalo mtu anaweza akaamua kufunga barabara na maisha yakaendelea tu
  15. Ni jiji pekee ambalo wakazi wake wengi hawajawahi kumiliki chombo cha moto zaidi ya pasi
  16. .....
  17. ......


16-ni jiji ambalo wa2 wake wengi ni wezi na mafisadi 17-jiji linaloongoza kuwa na watoto wengi wa mitaani na mateja wengi
 
jiji pekee ambalo kufika kwako unapita chochoro, gari unalaza ccm
 
Ni jiji lililo na matajiri sana na mafukara sana kuliko majiji yote ya Tanzania.
Ni jiji lililo na wasagaji na masenge wengi kuliko majiji yote Tanzania.
Ni jiji lililo na wasomi wengi 'wasio na ajira wasiotaka kuhamia mahala pengine kwa kupenda kwao kuuza sura mjini' kuliko sehem yoyote Tanzania.
Ni jiji la mishen town kila mchungaji, askofu au shekh ni mwizi tk
 
-Ni jiji pekee ambalo vituo vya mafuta viko katika makazi ya watu.
-Ni jiji pekee ambalo askari wa barabarani ni marafiki wa metro(Daladala peole)
-Ni jiji pekee ambalo watumishi wa ndani na mabaa hawapewe mishahara halali na kugeuka machangudoa
-Ni jiji pekee ambalo mahabusu na wafungwa wengi ni masikini.
-Ni jiji pekee magari yanuzwa mitaani(Showrooms)
-Ni jiji pekee ambalo wanasiasa wanathaminiwa kuliko wasomi, madaktari na mainjinia.
 
Ni jiji ambalo watu wake hawathamini miundo mbinu muhimu kwa kuiharibu kama uwanja mpya wa taifa.
 
1. ni jiji pekee lenye milipuko ya magonjwa kama red eyes, kipindupindu, vikohozi na mafua n.k
2. Ni jiji ambalo raia wake hawaaminiani unaweza hata kama wanatembea njia mtu unawasiwasi kuwa anaweza kukukaba
3. Ni jiji lililojaa mbu
4. Ni jiji amabalo fukwe zake zimejaa vinyesi kama coco beach
5. Ni jiji lililojaa matapeli
 
Ni Jiji lenyewatu wasiopenda kujishughulisha kabisa, kilamtu mission town. Akifanya kazi mtummoja, wanakula watu kumi. Kila mtu dalali.
 
sifa zote hizo chafu mnaishi huko kwa nini? Njooni mikoani,hewa safi kama simiyu,katavi na arusha.nchi kubwa hii,wadau hasa graduates.
 
ni jiji ambalo mashoga wanatama ile mbaya tena wanajitoa magazetini na kujipeleka clouds fm huku wakijambulisha kwa majina ya anti Muddy nk
 
Ni Jiji lenyewatu wasiopenda kujishughulisha kabisa, kilamtu mission town. Akifanya kazi mtummoja, wanakula watu kumi. Kila mtu dalali.

HUU NDIO UGONJWA MPYA WA WATANZANIA...tusubiri tuone.
 
napenda tu kuwajulisha wale watoto kuwa pale makao mapya arusha kuna vijumba vya round round ndio kazi yake linza ya kwanza baadaya kugraduate sitetei ila ni bora mjue kuwa nae yumo yumo ameanza zamani hata nyumba yangu nilibandika bango lake ndio tz yetu hii we go for easy and cheap
Mbona hueleweki WEWE?
 
-Ni jiji pekee duniani ambalo mabomu ya serikali yamelipuka ovyo mara kadhaa na kuwauwa watu na kuharibu mali zao bila kufidiwa kihalali na wakati halali.
-Ni jiji pekee duniani wakazi wake wanafanya gwaride bila kupenda,asubuhi wanaelekea katikati ya mji na jioni wanarudi walikotoka.
-Ni jiji pekee ambapo nyumba zote za serikali zimeuzwa na watumishi wake wanaishi mahoteli ya kifahari.
-Ni jiji pekee ambapo wahindi wanang'ang'ania vijumba vya wanafunzi njini ingali wana uwezo wa kujenga za kwao.
-Ni jiji ambalo askari ni wengi lakini usalama ni mdogo sana
-Ni jiji pekee barabara zake zina matuta kila mahali eti watu wanagongwa sana
-Ni jiji pekee utakuta chupa zilizoisha maji zimetupwa barabarani zimejaa mikojo.
-Ni jiji pekee ukimgonga mtembea kwa miguu basi raia huchukua sheria mkononi kwa kukuua na kuchoma gari lako.
-Ni jiji pekee mwanamke akipata bwana anakuwa amepata muwekezaji, utakoma kwa kutoa pesa, voucher na kodi ya chumba.
-Ni jiji pekee watoto wengi hushuhudia wazazi wao wakifanya mapenzi kisingizio hapa mjini chumba ni kimoja.
-Ni jiji ambalo ukiwa baa mtu uliyekaa naye meza moja atakwambia yeye ni usalama wa taifa.
-Ni jiji pekee wauza mafuta ya magari wanaweza kugoma kuuza mafuta bila kuogopa serikali.
-Ni jiji pekee kuingia mahabusu bure lakini kutoka lazima uwe na hela.
endeleeni!!!!
 
Back
Top Bottom