Maajabu ya Jiji la Dar es Salaam

NI jiji pekee ambalo viongozi wa serikali na chama tawala wanaongoza kwa kuvunja sheria kwa kujenga kwenye sehemu za wazi na pia kuziba barabara!!
 
kweli kabisa na wenye midomo mirefu ya matusi na kujua kila kitu kwa sauti wake kwa waume
 
napenda tu kuwajulisha wale watoto kuwa pale makao mapya arusha kuna vijumba vya round round ndio kazi yake linza ya kwanza baadaya kugraduate sitetei ila ni bora mjue kuwa nae yumo yumo ameanza zamani hata nyumba yangu nilibandika bango lake ndio tz yetu hii we go for easy and cheap
 

Majibu:
1 - 5 = Ni kazi ya serikali ambayo wananchi tuliichagua kuendelea kula, kukagua maeneno mara kwa mara na kutoa vibali vya ujenzi.
6 = Ni kutokana na maendeleo, wakazi wengi ni matajiri wanamiliki magari yao binafsi.
7 = Wananchi wenyewe wa maeneo husika ni wachafu na vyoo vichafu, mtu mzima hafundishwi kufanya usafi.
8 = Uchafu unaotokana na wanajiji kuziba mitaro na miundombinu feki (Serikali na wananchi)
9 = Maendeleo, wanajiji wanamihela ya kutanua wakiwa na magari yao ya kifahari weekend tofauti na Mikoani choka mbaya
10 = Guest house wanajiji wanazitumia vizuri kuliko wageni, ndiyo maana zinaongezeka na kudumu.

N.B: UKITAFAKARI KWA KUTUMIA AKILI KIDOGO SANA UTAGUNDUA YOTE YANASABABISWA NA MWANANCHI MWENYEWE, SERIKALI TULIICHAGUA WENYEWE KWA HIYO JIJI LITAENDELEA KUWA LILIVYO NA ZAIDI.
 
Hili la ujenzi holela - Llileta balaa kubwa sana nyumba moja ilipoungua kule Kimara; Gari la zimamoto lilipofika lilishindwa kuifikia ile nyumba kwasababu kuna majirani waliamua kushindana ni nani anaweza kujenga liukuta likubwa hadi wakaziba njia kwa kiasi cha gari kubwa kushindwa kupita. Matokeo yake wafanyakazi wa zimamoto wakabaki kushuhudia nyumba inavyoteketea kwani mpira usingeweza kufika umbali ule😡
 
lagos, bombay,dhaka, port au prince nazo hizoooo
 
ni jiji ambalo watu wake weingi hawamjui mungu si kwamba hawamjui kwamba ndiye muumba wa dunia hii but kwa sababu ya raha za hili jiji zuri
 
1. ni jiji pekee lenye milipuko ya magonjwa kama red eyes, kipindupindu, vikohozi na mafua n.k
2. Ni jiji ambalo raia wake hawaaminiani unaweza hata kama wanatembea njia mtu unawasiwasi kuwa anaweza kukukaba
3. Ni jiji lililojaa mbu
4. Ni jiji amabalo fukwe zake zimejaa vinyesi kama coco beach
5. Ni jiji lililojaa matapeli
 

-lenye vyangudoa/ machoko lukuki! Wa kila aina
-biashara za vitu vya
kimagumash mpaka madawa ya b'nadam & vibudu+vitu vilivyo expire
-mateja
 
Ni jiji ambalo meya wake ni mission town!! Taperi nambari moja [ UDA SAGA]!!
 
Watafanya nini wakati kila kitu hata juu yake kipo hivyo hovyp????

Tafakari:

Ni nchi pekee duniani ambaye Rais wake ana PhD zaidi ya 'tatu' peke yake!!
Ni nchi pekee, yenye kutumia aina mbili za noti ''fedha zake'' (sasa sijui mzunguko wake ukoje na jinsi ya ku-control hizo pesa ukoje!)
Pia ni nchi pekee duniani ambapo kuna aina mbili tofauti za leseni za kuendeshea magari!!!
 

Duh hata JIKO la MKAA? au KUNI?
 

Jiji pekee ambako wezi, vibaka, majambazi na matapeli wanaheshimika kuliko wavuja jaso. Jararibu kuwa mjanja wa jiji uone jinsi utakavyoheshimika. Misheni towni ndo dili bwana
 
1. ni jiji pekee lenye milipuko ya magonjwa kama red eyes, kipindupindu, vikohozi na mafua n.k
2. Ni jiji ambalo raia wake hawaaminiani unaweza hata kama wanatembea njia mtu unawasiwasi kuwa anaweza kukukaba
3. Ni jiji lililojaa mbu
4. Ni jiji amabalo fukwe zake zimejaa vinyesi kama coco beach
5. Ni jiji lililojaa matapeli
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…