Maajabu ya JF leo!

Maajabu ya JF leo!

Michael Scofield

JF-Expert Member
Joined
Jul 30, 2011
Posts
1,225
Reaction score
473
Naingia kwenye profile yangu nakutana na lawyer amegoma kushangilia leo, Upande mwingine Speaker nae kaacha kutingisha kichwa, mbaya zaidi kwa Boflo, Zidane leo kaanguka yeye....lol
Najaribu kuitingisha PC yangu sasa labda Klorokwini ataendelea kushangilia.....!

Invisible nimesikia anaumwa red eyes, hawezi kufinyafinya macho.
 
Naingia kwenye profile yangu nakutana na lawyer amegoma kushangilia leo, Upande mwingine Speaker nae kaacha kutingisha kichwa, mbaya zaidi kwa Boflo, Zidane leo kaanguka yeye....lol
Najaribu kuitingisha PC yangu sasa labda Klorokwini ataendelea kushangilia.....!

topic za humu ndani..kweli ndio mana inaitwa chit-chat
 
Ngoma hata kureply with quote mbinde
quote_icon.png
Saint Ivuga
hhaa a maiko kwema?
 
klorokwin kaacha kushangilia.........wapiga makofi wake wameenda kukanda viganja
 
sasa hivi hata kiswahili kimeanza kunishinda,
uzee huu. lol.
 
Back
Top Bottom