Hahaha! Umenikumbusha mshkaji wangu KISHASHA nilicheza naye kabumbu timu ya Vatican pale Lushoto anakaa mitaa ya Chakechake na mimi kipindi hicho nikiwa nakaa Kitivo! Hahaha Kishasha aka Kishen batambuze!
Hebu tazama watu ambao jina la ubini limeanza na herufi k walivyofanikiwa
Jakaya kikwete
Amani karume
Jommo kenyatta
Mwai kibaki
Paul kagame
Fareed kubanda
Juma kaseja
John kennedy
Laurent kabila
Zitto kabwe