Maajabu ya herufi "k"

Maajabu ya herufi "k"

aka2030

JF-Expert Member
Joined
Jan 5, 2013
Posts
2,672
Reaction score
3,737
Hebu tazama watu ambao jina la ubini limeanza na herufi k walivyofanikiwa
Jakaya kikwete
Amani karume
Jommo kenyatta
Mwai kibaki
Paul kagame
Fareed kubanda
Juma kaseja
John kennedy
Laurent kabila
Zitto kabwe
 
na mimi kishasha.
aisee mawazo ya kijima haya sijapata kuona, kwa hiyo herufi nazo zina bahati?
ni kwa africa tu au dunia nzima?
 
Hebu tazama watu ambao jina la ubini limeanza na herufi k walivyofanikiwa
Jakaya kikwete
Amani karume
Jommo kenyatta
Mwai kibaki
Paul kagame
Fareed kubanda
Juma kaseja
John kennedy
Laurent kabila
Zitto kabwe

Efraimu kibonde
Absalom kibanda

Sent from my BlackBerry 8520 using JamiiForums
 
Mh! Mkuu unanitisha mkuu. Kwenye hayo majina kuna watu kdhaa wameshapigwa chuma au nondo. Je una maana hao waliobaki wajiandae?
 
Yoweri kaguta

Yesu kristo

Masud kipanya

Abeid karume


Sheikh kombo


Kiyeu yeu
 
Back
Top Bottom