Mkuu umenichekesha sana,kweli anasubiriwa ainukeAction movies ndio balaa, mtu akipigwa kaanguka anasubiliwa ainuke ili waendelee kupigana na wanapiga tumboni tu. Za kichawi ndio usiseme mlemavu anatafutiwa suruali pana na mguu unaonakana umefungwa na kamba.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Sigara yenyewe inavyovutwa sasa,lazima acheke ha ha ha ha haa
Bongo movie kama mwanamke hana chura hawezi kupata nafasi ya kuigiza.Kuna ktu k1 tu ambacho huwa knanfanya kuchek bongo muv,kuangalia watoto wa nguvu wakiwa kene pamba za kjanja
Ndo hvo,lakin nigeria wanaangalia kpaj zaidBongo movie kama mwanamke hana chura hawezi kupata nafasiya kuigiza.
Safari bado ni ndefuNdo hvo,lakin nigeria wanaangalia kpaj zaid
Aisee[emoji23] [emoji23]Mdada amekufa alafu wemembeba skert ikifunuka anjifunika vizuri
Halafu huku kavaa hereni[emoji3]Ray anaigiza ushambaboy na bonge la mtambi na nywele za ku curl
Labda mimi tu[emoji23] [emoji23]JF kila mtu haangalii Bongo Movie!
Labda mimi tu[emoji23] [emoji23]
Hao hawakosekani.Maana kuna watu wanakandia balaa halafu kuangalia hawaachi.