Maajabu ya bata

Tiger

JF-Expert Member
Nov 30, 2007
1,747
386
Umewahi kusikia hii:
eti ukiwa unamnyonyoa bata huku unaongea manyoya hayaishi.
Mi sijui kama ni kweli.
Wewe je?
 
Nilishachimbwa biti enzi hizo,wazee waliona u(m)kiongea maini yatachelewa.Hakuna cha kuota manyoya wala nywele.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom