Maajabu ya AU: Mashujaa wa Africa!

- Habari za muda mchache uliopita kutoka Addis, Ethiopia ni kwamba leo AU imetundika picha za Mashujaa wa Africa katika kuta za kumbi zake, lakini hakuna picha za Mwalimu Nyerere, Dr. Kaunda!

- UJUMBE HAPA: Kwanza Bajeti ya AU 80% ni kutoka EU, je ni wao ndio wameamua kuandika upya historia au kuna something we don't know? HOWEVER: Mimi nilidhani mambo ya fitna ni bongo tu kumbe ni mzimu unatutafuna Africa nzima, wote tumekalia roho mbaya, fitina, chuki na wivu; I mean nani anaweza kuwa Shujaa katika Africa kuliko Kaunda, Mwalimu na Nkurumah?

- Kumbe Africans wote tupo sawa tu, sasa ngoja wenye nguvu watuandikie historia kwa sababu tu ya kutupa makombo kidogo!!! Kwa nini Tanzania tusi-protest Officially huko Addis, maana it does not make any sense kwa kweli!!

Biig Shoow!!

Shallow thread justify maelezo yako mkuu
 
[h=6]"Baada ya malalamiko yakiongozwa na Tanzania AU imesimamisha zoezi la kuwaenzi waasisi na wanaminduzi wa Afrika.. Picha Zote zilizowekwa za ma hero zitondolewa mpaka ambao utaratibu mpya utakapotolewa..."[/h]RK Facebook.

- Ujumbe tena kutoka Addis wa leo kwenye ukumbi huo.

Le Mutuz!!
 
Si kweli; Picha ya Juliasi ipo

Lete mchakato wa bajeti ya AU na pia lete sources zako zenye kudai kuwa 80% ya bajeti ya AU imetoka EU

Analysis zako factually ziko wrong on all levels na nashangaa kwa msomi kama wewe ambaye ushafanya kazi mpaka UN unaleta thread bila sources za kuback up hayo maneno.

Mbona unampa sifa asiyo nayo? ana usomi upi? huyo UN labda alikuwa mbeba maboksi ya barua.
 
- Chama maandishi yako yanaonyesha kwamba ni mtumzima, lakini mbona huelewi somo hapa? Mi-article yako yote ni sawa mikubwa sana lakini so far mbona hamna ishu ya MWalimu, Kaunda na Nkurumah kuwekwa picha zao kukumbini kama alivyo-beep Mkuu wa Dunia? Please enough na hii mi-article!!

- Le Mutuz!!

Umeshindwa kuona hii? fut aNkrumah bakisha Nyerere na Kaunda:
It is befitting for the African Union to honour Dr. Kwame Nkrumah and set the tune for us to celebrate our heroes. During the recent African Union summit in Addis Ababa, the portrait of the late Nkrumah was unveiled at the AU head quarters in Addis Ababa in recognition and honour of the founding father of the Organization of African Unity (OAU), the precursor of African union.

Unajuwa maana ya hiyo au tukusaidie?
 
Umeshindwa kuona hii? fut aNkrumah bakisha Nyerere na Kaunda:

Unajuwa maana ya hiyo au tukusaidie?

"Baada ya malalamiko yakiongozwa na Tanzania AU imesimamisha zoezi la kuwaenzi waasisi na wanaminduzi wa Afrika.. Picha Zote zilizowekwa za ma hero zitondolewa mpaka ambao utaratibu mpya utakapotolewa...
"

RK Facebook.
 
Wewe nawe sasa kumbe zoezi lote limesitishwa, vipi sasa iwe issue?
 
Mambo yanayoendelezwa sasa na AU ni sawa na kuirudisha Afrika kwenye ukoloni halisiachilia wa sasa ukoloni mambo leo kila kukicha sisi ni watu wa kujikomba kwa watu weupe aka wazungu . mie naona wazungu walipomuua Gadafi wakafurahi maana alikua na msimamo thabiti, aliyebakia ni mgabe peke yake .maraisi wengine ni sawa na wajakazi wa wazungu ,mfano Tanzania kila kukicha wananchi wanakufa kwa njaa sababu ardhi nzuri imechukuriwa na wawekezaji. sasa hivi wagojwa wa afrika wamefanywa midoli ya kujifunzia lakini kwao sio , tujifunze sio kuabudu wazungu
 
- Hakuna la kupunguza wala kuongeza, SALUTE!

BIIG SHOW
 
"It was shocking today at the AU meeting when they were unveiling pictures of heros of Africa, the was none of Mwalimu Nyerere, Kwame Nkurumah or even Dr Kaunda ... that's why in the corridors you here that AU has become EU-AU.. 80% of her budgget comes from outside Africa mostly EU.. now they even want to re write our history....too sad"

Source: RK WAll Facebook

- Huu ni ujumbe kutoka kwa mtu aliyeko huko ukumbini Addis ambako haya yanafanyika sasa hivi, so relax sihitaji kukujadili as you did kwa sababu una hasira za matatizo yako binafsi unadhani ni mimi, I got nothing to do na your problems!!

Biig Show!!

....

Mkuu hata mie niliisikia habari kwenye radio moja hivi, kama siku tatu hivi zilizopita....

Nikasika Membe na Balozi wetu kule wamehamaki mno!!

....

Tujuzeni mlioko huko, nini kimetiokea? watarekebisha tatizo?

Na ziko za kina nani?

....
 
Back
Top Bottom