johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 84,035
- 142,145
Kwamba hata ya ndugu yake hakuipataUnataka kusema jamaa ali pata kula yake mwenyewe
Mkuu Yohana Mbatizaji, johnthebaptist , huku sasa ni kudhalilishana tuu, kuninanga kwa kupata kura moja!, Mimi kama member mwenzenu humu JF, baada ya jaribio lile, nilipandisha uzi huuKiukweli kitendo cha mwanabodi Pascal Mayalla kupata kura moja kule Kawe pamoja na mikakati yote aliyotumia kuwashawishi wajumbe hakitasahaulika.
Atakumbukwa lakini kwa ulambaji wa viatu uliotukuka, hamna kingine cha ziada.huyu Pascal Mayalla ni mlamba viatu ambaye kamwe hatakumbukwa
Mbona kuna wengi tu walipata kura 0Mkuu Yohana Mbatizaji, johnthebaptist , huku sasa ni kudhalilishana tuu, kuninanga kwa kupata kura moja!, Mimi kama member mwenzenu humu jf, baada ya jaribio lile, nilipandisha uzi huu
Nilitegemea haya yamekwisha!.Uchaguzi 2020 - Wana JF, nipeni Pole. Msinicheke wala msinibeze; nimegombea ubunge Kawe kupitia CCM nimeambulia kura 1. Ama kweli CCM ina wenyewe!
Wanabodi, Hili ni bandiko la ombi maalum kwa Wana JF wenzangu, nawaombeni sana mnipe pole na msinicheke, wala msinibeze, kujaribu kugombea ubunge wa Kawe kupitia CCM, nimeambulia kura 1! Japo nimeshindwa kwa kupata kura moja, lakini sababu za mimi kugombea ni very valid na very genuine...www.jamiiforums.com
Leo ni siku ya kupandisha mabandiko yenye powers za final blows, hivyo kunianzishia hivi siku yangu ni kuniharibia mood!.
Please do the needful.
P
Baraka zimeshaenda kwa Dr Magufuli bwashee!Bwashee umesahau kusema Mungu mbariki Tundu Lissu
Tulia dawa iku ingie..una batizwa kwa moto kama makamba alivyo semaMkuu Yohana Mbatizaji, johnthebaptist , huku sasa ni kudhalilishana tuu, kuninanga kwa kupata kura moja!, Mimi kama member mwenzenu humu jf, baada ya jaribio lile, nilipandisha uzi huu
Nilitegemea haya yamekwisha!.Uchaguzi 2020 - Wana JF, nipeni Pole. Msinicheke wala msinibeze; nimegombea ubunge Kawe kupitia CCM nimeambulia kura 1. Ama kweli CCM ina wenyewe!
Wanabodi, Hili ni bandiko la ombi maalum kwa Wana JF wenzangu, nawaombeni sana mnipe pole na msinicheke, wala msinibeze, kujaribu kugombea ubunge wa Kawe kupitia CCM, nimeambulia kura 1! Japo nimeshindwa kwa kupata kura moja, lakini sababu za mimi kugombea ni very valid na very genuine...www.jamiiforums.com
Leo ni siku ya kupandisha mabandiko yenye powers za final blows, hivyo kunianzishia hivi siku yangu ni kuniharibia mood!.
Please do the needful.
P
Samahani mkuu P, hivi hiyo kura moja ni baada ya kuomba kura kwa kuwashawishi wajumbe kuwa utawapa mamilioni?Mkuu Yohana Mbatizaji, johnthebaptist , huku sasa ni kudhalilishana tuu, kuninanga kwa kupata kura moja!, Mimi kama member mwenzenu humu jf, baada ya jaribio lile, nilipandisha uzi huu
Nilitegemea haya yamekwisha!.Uchaguzi 2020 - Wana JF, nipeni Pole. Msinicheke wala msinibeze; nimegombea ubunge Kawe kupitia CCM nimeambulia kura 1. Ama kweli CCM ina wenyewe!
Wanabodi, Hili ni bandiko la ombi maalum kwa Wana JF wenzangu, nawaombeni sana mnipe pole na msinicheke, wala msinibeze, kujaribu kugombea ubunge wa Kawe kupitia CCM, nimeambulia kura 1! Japo nimeshindwa kwa kupata kura moja, lakini sababu za mimi kugombea ni very valid na very genuine...www.jamiiforums.com
Leo ni siku ya kupandisha mabandiko yenye powers za final blows, hivyo kunianzishia hivi siku yangu ni kuniharibia mood!.
Please do the needful.
P
Baraka zimeshaenda kwa Dr Magufuli bwashee!
Bahati nzuri hatuhitaji KIRUSI chenu ambacho kitamtafuna yeyote na kumuuza yeyote mtanzania.Huyo muuaji na fedhuli hawezi kubarikiwa na Mungu. Anastaafishwa na watanzania Uraisi wiki hii