The Certified
JF-Expert Member
- Feb 10, 2016
- 910
- 773
- Thread starter
- #21
Asante MkuuAsante kwa kutujuza aina ya simu unayotumia ata kwenye android IPO mkuu inaitwa
Death calculator

Itara asante kwa SIV yako kuwa PIVHii app wangeiita SIV au PIV haina tofauti sana na hili gonjwa, na zile IRV zinazotumika kule huku iwe ni kutokuidowload tu
Unaonaje ukatumia muda wako kushare mambo yenye faida kwa wenzioNimefanya hivyo Kushare tu kwani kuna mipaka ya kuweka habari humu mkuu?
Mbona siku za kuishi kwa Mtanzania ni rahisi tuu wastani ni miaka 60 ya kuishi kama una miaka 50 bado kumi ,kama utaishi zaidi hiyo inaitwa mungu amekupa bonus ,
Ukuaji wa teknolojia unazalisha stori mpya kila siku ila leo huenda ukashtuka; unajua simu yako inaweza kukwambia siku yako ya kufa?
‘Macabre iPhone App’ ni application ambayo unaweza kuiweka kwenye simu yako na jukumu ambalo utakuwa nalo ni kuweka ratiba zako zote za siku nzima, application hiyo inapiga hesabu halafu inakupa majibu siku zako ngapi zimesalia kuishi duniani.
Kali zaidi ni kwamba majibu utakayopewa ya idadi ya miaka, miezi, wiki, siku na saa itakuwa inaonekana kwenye screen lock, kwa hiyo kila unapotoa lock ya kwenye screen itakuwa inaonekana hapo juu.
Majukumu yako ya siku ndiyo yataakayoamua siku ngapi utaishi.
Application hiyo inapatikana kwa simu za Apple zinazotumia iOS na Windows 8.
Unadhani uko tayari kuitumia application hii?
Halafu ndonunataka na sisi tuwe wajinga kama wewe... We jamaa zero kabisaHahahahaha nimeiweka kwangu tangu mwaka jana nikaiambia mimi nafanya kazi masaa 26 ikasema nakufa tarehe 28/12/16 ila hadi sasa nipo na ule muda umesimama
Wangapi wameshakufa kwa tarehe zilizotabiliwa na hii app mpaka tuamini kuwa inatoa majibu ya ukweli?
Ukuaji wa teknolojia unazalisha stori mpya kila siku ila leo huenda ukashtuka; unajua simu yako inaweza kukwambia siku yako ya kufa?
‘Macabre iPhone App’ ni application ambayo unaweza kuiweka kwenye simu yako na jukumu ambalo utakuwa nalo ni kuweka ratiba zako zote za siku nzima, application hiyo inapiga hesabu halafu inakupa majibu siku zako ngapi zimesalia kuishi duniani.
Kali zaidi ni kwamba majibu utakayopewa ya idadi ya miaka, miezi, wiki, siku na saa itakuwa inaonekana kwenye screen lock, kwa hiyo kila unapotoa lock ya kwenye screen itakuwa inaonekana hapo juu.
Majukumu yako ya siku ndiyo yataakayoamua siku ngapi utaishi.
Application hiyo inapatikana kwa simu za Apple zinazotumia iOS na Windows 8.
Unadhani uko tayari kuitumia application hii?
swali zuri sana ngoja tusubili wajuzi wa haya mambo kama kina flaniWangapi wameshakufa kwa tarehe zilizotabiliwa na hii app mpaka tuamini kuwa inatoa majibu ya ukweli?
Pili kwaniniiw kwa wanaotumia tu Iphone na OS W8; tusiamini vipi kama huu si mkakati wa kimasoko katika kuwapata wateja wengi wa bidhaa zao?
Kati ya mimi na wewe na wao waliobuni hii app nani zero mkuu au hoja yako ni ipi?Halafu ndonunataka na sisi tuwe wajinga kama wewe... We jamaa zero kabisa
KwemaUmeshindaje mkuu kwema??
Natambua hilo mkuuhizo app zipo hata simu za Android lakini hazina ukweli wowote zipo za HIV,UZITO,UJAUZITO,PRESHAAKUNDI YA DAMU na UMRI WA MIAKA
Niliamia kuifanyia majaribio hiyo ua ujauzito nikiwa me nikatia urine ktk sreen ya cm kama ilivyoelekeza majibu ikanipa you are pregnant nilicheka cna mbavu nikaitfutilia mbali
Kwa hiyo hizo app hazna lolote zickudanganye mtoa maada