MAAJABU Unahitaji kujua umebakiwa na siku ngapi za kuishi duniani? Ipo app ya simu itakayokupa jibu

Macabre1.jpg

Ukuaji wa teknolojia unazalisha stori mpya kila siku ila leo huenda ukashtuka; unajua simu yako inaweza kukwambia siku yako ya kufa?

‘Macabre iPhone App’ ni application ambayo unaweza kuiweka kwenye simu yako na jukumu ambalo utakuwa nalo ni kuweka ratiba zako zote za siku nzima, application hiyo inapiga hesabu halafu inakupa majibu siku zako ngapi zimesalia kuishi duniani.

Kali zaidi ni kwamba majibu utakayopewa ya idadi ya miaka, miezi, wiki, siku na saa itakuwa inaonekana kwenye screen lock, kwa hiyo kila unapotoa lock ya kwenye screen itakuwa inaonekana hapo juu.

Majukumu yako ya siku ndiyo yataakayoamua siku ngapi utaishi.

Application hiyo inapatikana kwa simu za Apple zinazotumia iOS na Windows 8.

Unadhani uko tayari kuitumia application hii?
Mbona siku za kuishi kwa Mtanzania ni rahisi tuu wastani ni miaka 60 ya kuishi kama una miaka 50 bado kumi ,kama utaishi zaidi hiyo inaitwa mungu amekupa bonus ,
 
Hahahahaha nimeiweka kwangu tangu mwaka jana nikaiambia mimi nafanya kazi masaa 26 ikasema nakufa tarehe 28/12/16 ila hadi sasa nipo na ule muda umesimama
Halafu ndonunataka na sisi tuwe wajinga kama wewe... We jamaa zero kabisa
 
Macabre1.jpg

Ukuaji wa teknolojia unazalisha stori mpya kila siku ila leo huenda ukashtuka; unajua simu yako inaweza kukwambia siku yako ya kufa?

‘Macabre iPhone App’ ni application ambayo unaweza kuiweka kwenye simu yako na jukumu ambalo utakuwa nalo ni kuweka ratiba zako zote za siku nzima, application hiyo inapiga hesabu halafu inakupa majibu siku zako ngapi zimesalia kuishi duniani.

Kali zaidi ni kwamba majibu utakayopewa ya idadi ya miaka, miezi, wiki, siku na saa itakuwa inaonekana kwenye screen lock, kwa hiyo kila unapotoa lock ya kwenye screen itakuwa inaonekana hapo juu.

Majukumu yako ya siku ndiyo yataakayoamua siku ngapi utaishi.

Application hiyo inapatikana kwa simu za Apple zinazotumia iOS na Windows 8.

Unadhani uko tayari kuitumia application hii?
Wangapi wameshakufa kwa tarehe zilizotabiliwa na hii app mpaka tuamini kuwa inatoa majibu ya ukweli?
Pili kwaniniiw kwa wanaotumia tu Iphone na OS W8; tusiamini vipi kama huu si mkakati wa kimasoko katika kuwapata wateja wengi wa bidhaa zao?
 
swali zuri sana ngoja tusubili wajuzi wa haya mambo kama kina flani
 
Mbona miye nimeitafuta sijaiona. Au hiyo Apple Store ni ya kichina
 
Mie nadhani apps hii iko kwenye Kipengere cha funny kama kiburudisho tu haina madhara na kama ni nyoka basi atakuwa pambe
 
hizo app zipo hata simu za Android lakini hazina ukweli wowote zipo za HIV,UZITO,UJAUZITO,PRESHAAKUNDI YA DAMU na UMRI WA MIAKA

Niliamia kuifanyia majaribio hiyo ua ujauzito nikiwa me nikatia urine ktk sreen ya cm kama ilivyoelekeza majibu ikanipa you are pregnant nilicheka cna mbavu nikaitfutilia mbali

Kwa hiyo hizo app hazna lolote zickudanganye mtoa maada
 
Natambua hilo mkuu
 
Juzi nilikuwa nasikiliza redio kuhusu opinion polls ya kuwawezesha wanadamu kujua litakalotokea kesho liwe baya au zuri maisha ya wapendao kama watoto wao, husbands, wives etc kama yatakuwa na mafanikio au la pia siku yao ya kufa. Katika OP hiyo wengi walisema wasingependa kujua chochote kile kiwe kibaya au kizuri in advance kuhusiana na wapendwa wao ikiwemo siku za kurudisha namba.

Macabre1.jpg

Ukuaji wa teknolojia unazalisha stori mpya kila siku ila leo huenda ukashtuka; unajua simu yako inaweza kukwambia siku yako ya kufa?

‘Macabre iPhone App’ ni application ambayo unaweza kuiweka kwenye simu yako na jukumu ambalo utakuwa nalo ni kuweka ratiba zako zote za siku nzima, application hiyo inapiga hesabu halafu inakupa majibu siku zako ngapi zimesalia kuishi duniani.

Kali zaidi ni kwamba majibu utakayopewa ya idadi ya miaka, miezi, wiki, siku na saa itakuwa inaonekana kwenye screen lock, kwa hiyo kila unapotoa lock ya kwenye screen itakuwa inaonekana hapo juu.

Majukumu yako ya siku ndiyo yataakayoamua siku ngapi utaishi.

Application hiyo inapatikana kwa simu za Apple zinazotumia iOS na Windows 8.

Unadhani uko tayari kuitumia application hii?
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom