OKW BOBAN SUNZU
Platinum Member
- Aug 24, 2011
- 52,036
- 114,482
Jana nimemsikia vizuri sana rais Magufuli kwamba anaunga mkono kukamatwa kwa wasanii ili wasaidie kuonyesha wanapata madawa kutoka kwa nani!Nani ni bosi wao!
Kauli hii imetoka kwa mkuu mwenye vyombo nyeti vya usalama kuanzia usalama wa taifa, kitengo nyeti cha kuzuia madawa chini ya Afande Nzowa nk.
Japo serikali ya awamu ya tano ni changa lakini taasisi zake si change,isitoshe awamu ya nne iliwahi kukiri kwamba inayo orodha ya wauza madawa wakubwa.......
Sasa najiuliza hivi kweli serikali yenye kila aina ya idara nyeti mpaka leo haijui wanaowauzia kina Nyandu Tozzy madawa?!Sasa kama ni hivyo usalama wa Taifa na kitengo cha madawa ya kulevya wanafanya kazi gani?!Wakuu watuambie hii ndio namna ya kuwapata wauza madawa wakubwa na wazito?Kuwapata toka kwa Wema Sepetu
Hawa kina Wema kwao ni Sober House na sio Central police. Serikali yenye vyombo nyeti isiweze kuwajua hata ma-drug dealers wawili watatu ambao tungeshuhudia wa akikamatwa popote walipo mithiri ya "Gaidi Tundu Lissu"
Naunga vita ya dhidi ya madawa lakini siungi vita maigizo ya vita dhidi ya madawa ya kulevya.
Kimya cha Mwigulu Nchemba kina maana kubwa sana,na baada ya kutafakari ninakiunga mkono
=======
Wema Sepetu kukamatwa na kuhukumiwa kwa kukutwa na madawa ya kulevya
Kuhukumiwa na kuachiwa huru baada ya kulipa faini

- Wema Sepetu, Mr. Blue, TID, Recho wahusishwa na Dawa za Kulevya. Watakiwa kuripoti kituo cha Polisi
- Kamanda Siro: Wema Sepetu, TID na Nyandu Tozi bado wanashikiliwa na jeshi la polisi
- Sakata la Madawa ya Kulevya: Wema Sepetu afikishwa Mahakamani, apata dhamana
- Wema Sepetu kapatikana na bangi
- Tundu Lissu kumtetea Wema Sepetu
- Maajabu: Serikali haiwajui Vigogo wa Dawa za Kulevya hadi inataka Wema awatajie?
- Makonda kumfuata Wema mahabusu nyakati za usiku, hii imekaaje?
- Sauti ya Wema Sepetu iliyosambaa akiwatoa hofu Mashabiki
- Kesi ya Wema Sepetu hadi mwakani
- Wema Sepetu amefiwa, kesi yake yapigwa kalenda
- Dawa za Kulevya: Wema adai Makonda anatembea na Agnes Masogange ndio maana hakamatwi
- Wema Sepetu Apandishwa Tena Kizimbani Kisutu leo
- Vita ya Dawa za Kulevya: Steve Nyerere alivyopiga kambi Bungeni Kumuokoa Wema Sepetu
- Kesi ya Wema Sepetu yaahirishwa, uchunguzi haujakamilika
- Kutoka mahakamani: Wema Sepetu hakufanyiwa upekuzi kwenye maungo ya mwili wake, asema Hakimu
- Mkemia Mkuu: Mkojo wa Wema Sepetu ulikuwa na bangi
- Kibatala aandika barua ya kujitoa kesi ya Wema Sepetu, Alberto Msando aandika barua ya kuwa wakili mpya
- KISUTU: Wema Sepetu afika na Wakili wake Msando kwenye kesi. Diamond na Hamisa nao wafika Mahakama ya watoto
- Shahidi kesi ya Wema asema bangi ilikutwa jikoni
- Kisutu: Korti yakataa vielelezo vya ushahidi kesi ya Wema Sepetu. Masogange akutwa na kesi ya kujibu
Kuhukumiwa na kuachiwa huru baada ya kulipa faini