chendelela
JF-Expert Member
- Mar 22, 2015
- 1,145
- 1,013
Ha ha ha sina uhakikaMkuu, nimeishi huko na ninayokuambia mbona ni kama chai tu kule, yaani si cha hajabu kwa wakazi wa kule. Ukiwa tu pale mjini huwezi kujuwa chochote ila huko vijijini, usisikie. Kuna vituko si kawaida na hicho nilichosema ni cha mtoto. Nimeshaona mtu anaruka na ng'ombe kuja kutua shambani, na hii utabisha? Nakuambia nimeshuhudia.
Dat izAmevuna alicho kipanda!
Kwani hakuna njia nyingine ya kutubu dhambi mpaka uende kwa mzungu yesu.
Mshana alishafunguka na kuelezea kwa nini alikufa huyo kijana. Hivi mnajua mchawi ukimpiga na marando anaumia zaidi kuliko kumpiga kwa fimbo? Au gongoMshana aje!
Sayansi muda mwingine ni sawa na kuweka mkeka kwa muhindi tu
Ni Mahaba tu hayokwanini aliwaonya kabla kua wakimuua nyoka na yeye atakufa?