zubedayo_mchuzi
JF-Expert Member
- Sep 2, 2011
- 4,873
- 1,216
Jamani nimepanda hice za kwenda Msata kongowe,Lakini kwa Macho yangu ya Ndani Naona Nusu ya Gari Wana vichwa vya Ng'ombe.
Kama huna ujasiri unaweza kimbia.Wabongo hawafai.
1.Macho yangu ya Ndani...........??
2.Naona Nusu ya Gari Wana vichwa vya Ng'ombe...........??
3.Kama huna ujasiri unaweza kimbia......???
4.Wabongo hawafai...........?????
Jamani nimepanda hice za kwenda Msata kongowe,Lakini kwa Macho yangu ya Ndani Naona Nusu ya Gari Wana vichwa vya Ng'ombe.
Kama huna ujasiri unaweza kimbia.Wabongo hawafai.
Pamoja na ubaunsa wako na uanamazoezi wako hadi juzi unatuambia ni mpiga mazoezi kiasi kwamba hata vibaka wa kimara wanakuogopa Leo unaogopa vichwa vya ng'ombe? Supu ya watu hiyo kaka! Yaani uogope supu? Dah!
Pole sana mkuu zubedayo_mchuzi!
Sent from my BlackBerry 8520 using JamiiForums
Mi ninayo macho ya ndani ,huwa napata tabu sana kununua bidhaa maeneo ya masoko na wife ananiona napenda sana kuzunguka sokoni wakati bidhaa tunazotaka tunazipita!
Tatizo maji ya madafu
yuwapi huyu mleta uzi aje atiririke
Dadavua mkuu.
Umeokoka?
Tulia na elezea vizuri tukuelewe.
1. Hayo macho ya ndani ndio yakoje? Jaribu.kutumia ya kawaida haya ya nje alafu tujuze kama bado unaona hivyo vichwa.
2. Ni viwiliwili vyao ndio vina hivyo vichwa vya ng'ombe au kila mtu kashikilia/kabeba??
3. Kwa hali ya kawaida hata mmoja wao tu angekuwa hivyo hata dereva na konda wasingekubali apande lazima wangetimua mbio.
4. Hawafai kama ukitumia macho ya ndani kama wewe, vinginevyo wabongo tuko poa sana
Kipi cha kutiririka...
oooh kumbe upo! nahisi umefika salama! nilihofu hao wenye vichwa vya ng'ombe wasije kukupiga na pembe zao....
aisee sijui nikupe pole?..........pole sana! au hongera?
kwa kweli sijui! walikuwa wanakutega waone reaction yao!!!
Kiuhalisia wao ndio wanajihisi noma ukiwaona!japokuwa nawewe mapigo ya moyo hukusimama,kinachokusaidia ni kile alicho kuambia babu"usiseme wala kufanya chochote waangalie tu hawakufanyi kitu"Washenzi hawa ndo wanarudisha Mambo ya watu nyuma,Wakikupa hela si za kweli ....