Maajabu:Nusu ya hii gari wana vichwa vya Ng'ombe.

zubedayo_mchuzi

JF-Expert Member
Sep 2, 2011
4,873
1,216
Jamani nimepanda hice za kwenda Msata kongowe,Lakini kwa Macho yangu ya Ndani Naona Nusu ya Gari Wana vichwa vya Ng'ombe,Viwili vyao ni vya binadamu.

Kama huna ujasiri unaweza kimbia.
Wabongo hawafai.
 
Jamani nimepanda hice za kwenda Msata kongowe,Lakini kwa Macho yangu ya Ndani Naona Nusu ya Gari Wana vichwa vya Ng'ombe.

Kama huna ujasiri unaweza kimbia.Wabongo hawafai.

Pamoja na ubaunsa wako na uanamazoezi wako hadi juzi unatuambia ni mpiga mazoezi kiasi kwamba hata vibaka wa kimara wanakuogopa Leo unaogopa vichwa vya ng'ombe? Supu ya watu hiyo kaka! Yaani uogope supu? Dah!
Pole sana mkuu zubedayo_mchuzi!

Sent from my BlackBerry 8520 using JamiiForums
 
Last edited by a moderator:
1.Macho yangu ya Ndani...........??

2.Naona Nusu ya Gari Wana vichwa vya Ng'ombe...........??

3.Kama huna ujasiri unaweza kimbia......???

4.Wabongo hawafai...........?????

Tulia na elezea vizuri tukuelewe.
1. Hayo macho ya ndani ndio yakoje? Jaribu.kutumia ya kawaida haya ya nje alafu tujuze kama bado unaona hivyo vichwa.

2. Ni viwiliwili vyao ndio vina hivyo vichwa vya ng'ombe au kila mtu kashikilia/kabeba??

3. Kwa hali ya kawaida hata mmoja wao tu angekuwa hivyo hata dereva na konda wasingekubali apande lazima wangetimua mbio.

4. Hawafai kama ukitumia macho ya ndani kama wewe, vinginevyo wabongo tuko poa sana
 
Mi ninayo macho ya ndani ,huwa napata tabu sana kununua bidhaa maeneo ya masoko na wife ananiona napenda sana kuzunguka sokoni wakati bidhaa tunazotaka tunazipita!
 
Pamoja na ubaunsa wako na uanamazoezi wako hadi juzi unatuambia ni mpiga mazoezi kiasi kwamba hata vibaka wa kimara wanakuogopa Leo unaogopa vichwa vya ng'ombe? Supu ya watu hiyo kaka! Yaani uogope supu? Dah!
Pole sana mkuu zubedayo_mchuzi!

Sent from my BlackBerry 8520 using JamiiForums

Mbona unachanganya maelezo,ungekuwa wewe hukai humu..binadamu mwenzako kumuona ana kichwa cha Ng'ombe? Haya mambo hayaendani na ubaunsa wala Mazoezi.
 
Last edited by a moderator:
embu nibandikie picha ya hayo macho ya ndani mkuu...........

Mi ninayo macho ya ndani ,huwa napata tabu sana kununua bidhaa maeneo ya masoko na wife ananiona napenda sana kuzunguka sokoni wakati bidhaa tunazotaka tunazipita!
 
Tulia na elezea vizuri tukuelewe.
1. Hayo macho ya ndani ndio yakoje? Jaribu.kutumia ya kawaida haya ya nje alafu tujuze kama bado unaona hivyo vichwa.

2. Ni viwiliwili vyao ndio vina hivyo vichwa vya ng'ombe au kila mtu kashikilia/kabeba??

3. Kwa hali ya kawaida hata mmoja wao tu angekuwa hivyo hata dereva na konda wasingekubali apande lazima wangetimua mbio.

4. Hawafai kama ukitumia macho ya ndani kama wewe, vinginevyo wabongo tuko poa sana

Kiwiliwili cha binadamu,kichwa cha Ng'ombe...lakini wanaonekana kama abiria wa kawaida.
 
aisee sijui nikupe pole?..........pole sana! au hongera?
kwa kweli sijui! walikuwa wanakutega waone reaction yao!!!
 
Washenzi hawa ndo wanarudisha Mambo ya watu nyuma,Wakikupa hela si za kweli ....
Kiuhalisia wao ndio wanajihisi noma ukiwaona!japokuwa nawewe mapigo ya moyo hukusimama,kinachokusaidia ni kile alicho kuambia babu"usiseme wala kufanya chochote waangalie tu hawakufanyi kitu"
 
Back
Top Bottom