Maajabu: eti kazaliwa nayo

Maajabu: eti kazaliwa nayo

Mshana Jr

Platinum Member
Joined
Aug 19, 2012
Posts
376,456
Reaction score
872,092
1412589214617.jpg
 
Last edited by a moderator:
Nani tena huyo aliyeharibu aise maana wote ni ndugu moja na kusaidiana ni jambo la muhimu bana



mshana jr atatueleza kwa nini mtoto azaliwe na pete aise hapa kuna jambo bana

Hapo sasa, mtoto kazaliwa kafunga ndoa tumboni
 
Last edited by a moderator:
Aiseee...sasa utamvua au utamuacha hivyohivyo?
 
Ntuzu yamekuwa hayo aise na ukija mtaani na rasimu yako tutakutoa baru pia \



Hahahaaaa anza kufanya mazoezi ya maandamano uone RIGESHI LA PORISI RINAVYOFANYA KZ!

Rasimu imeshapita mkuu! Wacha njilie posho mie!
 
Last edited by a moderator:
Hahahaaaa anza kufanya mazoezi ya maandamano uone RIGESHI LA PORISI RINAVYOFANYA KZ!

Rasimu imeshapita mkuu! Wacha njilie posho mie!

Mkuu Ntuzu naamndamana kutoka chumbani kwangu mpaka sebuleni k ila siku nione kama rigeshi la porishi linaweza kunikamata
Rasimu hiyo ni yenu bana pambaneni nayo muitetee mpaka ipite

Yani Mimi mwenyewe nimeshangaa sijui ndo zile ndoa za mapepo?

Itabidi afanyiwe maombi mkuu mshana jr kuondoa laana aise
 
Last edited by a moderator:

Similar Discussions

Back
Top Bottom