Maajabu: CCM wajikomba msiba wa Masogange Mbeya

Bavicha wanashangaa Mtoto wa Kiongoz wa Chama kuzikwa Kwa heshma za Chama lakin hawashangai Mbwa wa Mbunge wao kuzikwa Kwa heshma zote za Chama Na blog zao zote zilikuwa live
Vipi ingekuwa Chadema ndiyo wamebeba hilo jeneza na sare zao leo wangepigwa mabomu ya machozi kila kona kuwatawanya.
 
Bavicha wanashangaa Mtoto wa Kiongoz wa Chama kuzikwa Kwa heshma za Chama lakin hawashangai Mbwa wa Mbunge wao kuzikwa Kwa heshma zote za Chama Na blog zao zote zilikuwa live
Pyutuuuuuu
FB_IMG_1524424364007.jpg
FB_IMG_1524334587117.jpg
FB_IMG_1494788493080.jpg
 
Ni katika kuupokea Msiba wa Marehemu Masogange huko kwao mbeya kwa Ajiri ya mazishi.

inaonyesha wanachama wa CCM wakiupokea msiba huo huku wakiwa na sare zao za chama wakichukua jukumu la kuubeba mwili wa Marehemu masogange ni kama alikuwa Kada wa Chama hicho.

Swali langu ni kwamba marehemu alikuwa kada wa CCM au lah?
maana kuzunguka kwangu kote mtandao sijawahi kutana na picha ata ya kusingiziwa ya marehemu akiwa na Vazi la CCM.

View attachment 754279
Ninachokijua ni.kuwa alikuwa anatembea na viongozi wakubwa wa ccm
 
Ni katika kuupokea Msiba wa Marehemu Masogange huko kwao mbeya kwa Ajiri ya mazishi.

inaonyesha wanachama wa CCM wakiupokea msiba huo huku wakiwa na sare zao za chama wakichukua jukumu la kuubeba mwili wa Marehemu masogange ni kama alikuwa Kada wa Chama hicho.

Swali langu ni kwamba marehemu alikuwa kada wa CCM au lah?
maana kuzunguka kwangu kote mtandao sijawahi kutana na picha ata ya kusingiziwa ya marehemu akiwa na Vazi la CCM.

View attachment 754279
Ni aina fulani ya kuchanganyikiwa kulikopitiliza
 
Ifike mahali tuache kuangali vitu vya udaku udaku, no maana hatutakaa tuendelee kwa kuendekeza ujinga
 
Back
Top Bottom