Antonio de Guzman
JF-Expert Member
- Jun 20, 2016
- 7,944
- 15,711
[emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] Kiki za kuforceKiki hizo ila trh 26 iko. Pale pale
DAB hajaenda kweli?
[emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] Kiki za kuforceKiki hizo ila trh 26 iko. Pale pale
DAB hajaenda kweli?
chama cha misiba; ccm ni kansa ya taifaNi katika kuupokea Msiba wa Marehemu Masogange huko kwao mbeya kwa Ajiri ya mazishi.
inaonyesha wanachama wa CCM wakiupokea msiba huo huku wakiwa na sare zao za chama wakichukua jukumu la kuubeba mwili wa Marehemu masogange ni kama alikuwa Kada wa Chama hicho.
Swali langu ni kwamba marehemu alikuwa kada wa CCM au lah?
maana kuzunguka kwangu kote mtandao sijawahi kutana na picha ata ya kusingiziwa ya marehemu akiwa na Vazi la CCM.
View attachment 754279
Washakuwa wasanii.Hawa jamaa akili zao wanazijua wenyewe tu!
Mkuu nahitaji gwanda kama hizo pichani hapo za green brigadeWewe umeenda kuzika au kusaka udaku?