Maajabu: CCM wajikomba msiba wa Masogange Mbeya

Maajabu: CCM wajikomba msiba wa Masogange Mbeya

Jamani mbona hawa watu wa CCM mbona hawako wazi?
Mwenye kujua cheo alichokuwa nacho Marehemu Agnes Masogange atuweke wazi ili tujue kwani hatukufahamu kuwa hata alikuwa mwanachama wa chama gani.
Nimeuliza hivyo kwa vile mazishi yake yamefanywa kwa heshima zote za chama hicho.
Inst-image-8.jpg
Inst-image-7.jpg
 
Unajua ukiwa unabwabwaja sana unakosa wakati wa kufikiri pia. Actions speak louder than words for sure. Nyie mnabwabwaja mitandaoni kwa ufitini wakati wenzenu wanajenga chama tu.
Wanajenga chama msibani..

Mliwapiga mabomu ya machozi, waombelezaji huko mwanza, walioenda kuhani msiba wa mwanachama wa chadema.
 
Jamani mbona hawa watu wa CCM mbona hawako wazi?
Mwenye kujua cheo alichokuwa nacho Marehemu Agnes Masogange atuweke wazi ili tujue kwani hatukufahamu kuwa hata alikuwa mwanachama wa chama gani.
Nimeuliza hivyo kwa vile mazishi yake yamefanywa kwa heshima zote za chama hicho.
View attachment 754462View attachment 754463
Alikua kada uvccm kitambo,bongo movie na bongo fleva wote wako ccm,hata wale wa kimboka,corner bar,manzese kwa mfuga mbwa wako ccm
 
Au ni mwendelezo wa CCM kupenda kiki msibani?
Jana mlisema muuza unga, Leo kwa vile wasanii wengi kawa shujaa?
Mkuu hawa ni wale ambao hawajitambui. Angalia muonekano wao ndio utajua
Inaonekana hata chakula chao cha shida.
**sisiem buaana wanatafuta pa kutokea
Lakini wanaMbeya wamewakomesha wamejitokeza kama raia wa kawaida tu..
Siasa mpaka msibani mnachekesha kweli
Nyie endeleeni kuwaga wananchi
 
Back
Top Bottom