Maajabu: CCM wajikomba msiba wa Masogange Mbeya

Zero IQ

JF-Expert Member
Joined
Dec 21, 2016
Posts
13,985
Reaction score
25,204
Ni katika kuupokea Msiba wa Marehemu Masogange huko kwao mbeya kwa Ajiri ya mazishi.

inaonyesha wanachama wa CCM wakiupokea msiba huo huku wakiwa na sare zao za chama wakichukua jukumu la kuubeba mwili wa Marehemu masogange ni kama alikuwa Kada wa Chama hicho.

Swali langu ni kwamba marehemu alikuwa kada wa CCM au lah?
maana kuzunguka kwangu kote mtandao sijawahi kutana na picha ata ya kusingiziwa ya marehemu akiwa na Vazi la CCM.

IMG_20180423_140903_511.JPG
 
  • Thanks
Reactions: BAK
Nimeshangaaa, ninashangaa na bado nitaendelea kushangaa, ama labda marehem alikuwa kada wa Ccm, kitu ambacho sidhani, hawa wenzetu naona akili zao zimeshafikia ukomo wa kuwaza
 
MASIFA NA KUJIKOMBA TU ZINAWASUMBUA, Lakini kumbukeni tunataka 1.5 Tr zikagawanye kila kijiji
 
MASIFA NA KUJIKOMBA TU ZINAWASUMBUA, Lakini kumbukeni tunataka 1.5 Tr zikagawanye kila kijiji
 
Ni katika kuupokea Msiba wa Marehemu Masogange huko kwao mbeya kwa Ajiri ya mazishi.

inaonyesha wanachama wa CCM wakiupokea msiba huo huku wakiwa na sare zao za chama wakichukua jukumu la kuubeba mwili wa Marehemu masogange ni kama alikuwa Kada wa Chama hicho.

Swali langu ni kwamba marehemu alikuwa kada wa CCM au lah?
maana kuzunguka kwangu kote mtandao sijawahi kutana na picha ata ya kusingiziwa ya marehemu akiwa na Vazi la CCM.

View attachment 754279
Ni shobo tuu
 
Back
Top Bottom