Maeneo ya Mbagala, Bonde la kuelekea Mission panahofiwa kutokea vifo; Nyumba zimebomoka kwa maji watu wakiwa ndani.
Mbunge wa Kawe Halima Mdee yupo Tegeta Kibo muda huu anakagua uharibifu uliofanywa na mvua na tayari na malori yanamimina vifusi.
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
Kinachoigharimu DSM ni miundombinu mibovu kupindukia. Unakuta mahali mtaro umejengwa vizuri, lakini hauna toleo lolote mwishoni, hasa hayo maji yataenda wapi?
Mbona sijazimia, wewe vipi huko Tandale, umepona ugonjwa ule wa kula ma.vi .a.k.a kipindua pindua.
Haijalishi unaishi wapi, labda kama ungeniambia kuwa hata siku moja hutakufa na kuacha eneo hilo unaloishi, pili kwa jinsi unavyoonekana ni lazima unaishi kwa baba yako, hivyo, wewe ni kula, kulala na kujaza choo. Aidha, elimu yako maisha ni ndogo sana ndo maana unaringia unaloishi unaloishi bila kutambua kuwa hakuna aliyeoomba azaliwe masikini. Halafu, nini maana ya neno saruti ?Ungejua where I live, kudadadeki....!!!!! hata saruti ungenipigia