Maafa ya mvua Dar leo Disemba 15, 2015

Maafa ya mvua Dar leo Disemba 15, 2015

RUCCI

JF-Expert Member
Joined
Oct 6, 2011
Posts
1,702
Reaction score
1,716
Maeneo ya Mbagala, Bonde la kuelekea Mission panahofiwa kutokea vifo; Nyumba zimebomoka kwa maji watu wakiwa ndani.

Mbunge wa Kawe Halima Mdee yupo Tegeta Kibo muda huu anakagua uharibifu uliofanywa na mvua na tayari na malori yanamimina vifusi.

attachment.php
attachment.php
attachment.php
attachment.php
attachment.php
attachment.php
attachment.php
attachment.php
 
Attachments

  • Maafa1.jpeg
    Maafa1.jpeg
    21.4 KB · Views: 6,722
  • Maafa2.jpeg
    Maafa2.jpeg
    53.5 KB · Views: 6,791
  • Maafa3.jpeg
    Maafa3.jpeg
    18.3 KB · Views: 6,686
  • Maafa5.jpeg
    Maafa5.jpeg
    16.1 KB · Views: 6,650
  • Maafa6.jpeg
    Maafa6.jpeg
    31.4 KB · Views: 6,679
  • Maafa7.jpeg
    Maafa7.jpeg
    17.3 KB · Views: 6,639
  • Maafa8.jpeg
    Maafa8.jpeg
    14.9 KB · Views: 6,831
  • Maafa9.jpeg
    Maafa9.jpeg
    18.4 KB · Views: 7,274
Poleni wahanga, ila kama unaona umejenga au kupanga mabondeni sehemu zisizoruhusiwa hii pole haikuhusu umejitakia mwenyewe.
 
Kwani hawa watu wa Dar wana shida gani, wanajidekeza kama kuku wa kisasa, mvua kidogo tu wanadi kuna mafuriko, kijana akipita mmoja amevaa mlegezo wanakimbia eti panya road wanakuja !! Nyie watu vipi, ifike mahali muwe watu wazima sio kila wakati kudeka tu.
 
Jamani poleni sana, tupieni picha zaidi tuone huku kwetu umeme umekatwa
 
Kwani hawa watu wa Dar wana shida gani, wanajidekeza kama kuku wa kisasa, mvua kidogo tu wanadi kuna mafuriko, kijana akipita mmoja amevaa mlegezo wanakimbia eti panya road wanakuja !! Nyie watu vipi, ifike mahali muwe watu wazima sio kila wakati kudeka tu.

Mpwa wangu Elli njoo usikie vijembe!
 
Last edited by a moderator:
Kwani hawa watu wa Dar wana shida gani, wanajidekeza kama kuku wa kisasa, mvua kidogo tu wanadi kuna mafuriko, kijana akipita mmoja amevaa mlegezo wanakimbia eti panya road wanakuja !! Nyie watu vipi, ifike mahali muwe watu wazima sio kila wakati kudeka tu.

Sidhani kama ni mzima wewe kichwani!!!!!!!!!!

Si lazima kuandika kama huna hoja ya kuchangia. Soma tu post za wenzio ndio ustaarabu.
 
Kwani hawa watu wa Dar wana shida gani, wanajidekeza kama kuku wa kisasa, mvua kidogo tu wanadi kuna mafuriko, kijana akipita mmoja amevaa mlegezo wanakimbia eti panya road wanakuja !! Nyie watu vipi, ifike mahali muwe watu wazima sio kila wakati kudeka tu.

upo sawa kabisa Mura
 
Na hapo imenyesha masaa 6 tu mnaanza kulia, je ikipiga siku 2 kama huko Mwanza itakuwaje?
 
Poleni sana ndugu zangu wa hapo Dar, nasi huku kanda ya ziwa imeanza tangu usiku wa saa 9 hadi mida hii ndipo yaelekea kukata.
 
Duu kuwa na huruma ndugu yangu, hii tu ndogo hali iko hivi ikijaa elnino si itauwa watu wa kutosha na kuharibu miundo mbinu kibao? haiji kwa Jina la YESU.

Tulitangaziwa El nino, na mvua hii ya leo si dalili njema!

Kwa wale wanaowacheka waliojenga mabondeni nadhani hawako sahihi! Kujenga kunaangalia factors nyingi, kuna watu Dar ndio kwao hawana kwengine tena, na kama watanzania wengi wanaomiliki maeneo ya kawaida, inawezekana shamba lao ndio limekuwa option pekee ya kiwanja maana hivi vya halmashauri ni lazima uwe na jina zito la ukoo au ushikwe mkono au uwe na pesa ya ziada! Kama familia yenu amebakisha ardhi hata kama ni katikati ya MTO hapo itaingia tamaa tu ya kupunguza adha ya kodi!
Kuna mabondeni mengine yalikuwa low risk areas lkn ujenzi holela wa baadhi ya matajiri hadi wameziba, au kupunguza au kuelekeza kwengine mifereji mikubwa na mito midogo ya asili hivyo kuleta maafa ktk maeneo ambayo hayakuwa flood prone!
Pole kwa wote, cha msingi Hawa ni watanzania waliokosa fursa na hivyo kutake risk!
Poleni wote mliokumbwa na maafa, kwa bahati mbaya au kama dharura ktk ilr risky business mliyoamua kuitake!
Mnapaswa kujifunza wote kuwa usalama wako unavuka gharama nyingine zote! Tunajua kuwa hizi si mvua za kwanza kwenu, somo litaendelea kila misimu ya mvua itakapokuwa inawadia, wachache mtakaoelewa please mfanye uamuzi sahihi! Kuwa displaced kunaweza kuuma sana, lkn with time utazoea, fikiria kuhama sasa kama una uwezo!
Wapuuzieni wanaowakebehi, maana hata waliopata malaria walipaswa wafukuzwe hospitali kwanini hawakutumia net, wenye ukimwi watafaa kuitwa wazembe, kipindupindu wachafu, na kwa maana nyingine tufunge hospitali maana sehemu kubwa ya maradhi kuna sehemu makosa yalifanyika ndio mtu akapata ugonjwa!

Poleni once again!
 
Poleni wanadarisalama lakini si mliambiwa mjiandae na mvua hizi?
 
mrudi kwenu ukiulizwa we mngoni mhehe mjita mmasai na makabila mengine.tunaomba mafuriko yazidi yawaachie nauli tu.ya nini muisshi utumwani
 
Kwani hawa watu wa Dar wana shida gani, wanajidekeza kama kuku wa kisasa, mvua kidogo tu wanadi kuna mafuriko, kijana akipita mmoja amevaa mlegezo wanakimbia eti panya road wanakuja !! Nyie watu vipi, ifike mahali muwe watu wazima sio kila wakati kudeka tu.

nimecheka sana
 
Kinachoigharimu DSM ni miundombinu mibovu kupindukia. Unakuta mahali mtaro umejengwa vizuri, lakini hauna toleo lolote mwishoni, hasa hayo maji yataenda wapi?
 
Back
Top Bottom