Maadili

Magda pius

New Member
Dec 1, 2011
4
2
Maadili yetu yanaelekea wapi? Tuna pata wapi huu ujasiri? Leo hii ni aibu binti kuwa na Bikira hivyo inabaki kuwa siri yake Na ikiwa binti akiwa Bikira basi ataandamwa na maneno ya kejeli na ya silolote si chochote kwa nini Wengi huigiza hawathamini Bikira ni uongo na unafiki uliojawa na Sina uvumilivu kama si Sikujua Siku zote mti uzaao matunda hupigwa mawe"Ulishindwa au hukutaka kuwa Bikira basi acha fitna kwa wenye nazo,kuwa na umuhimu au la ni juu yao au unadhani waweza kuwa na ushawishi wa kuzivunja kuliko aliyeng'ang'ania apewe penzi? Kila mtu ana malengo yake kama ulitolewa Bikira mapema,hukuoa bikra basi waache waonao fahari yake,hayo ya tigo na mchina ina huu!! HESHIMA YANGU KWA MABIKRA,IKIWA NI SIKU CHACHE BAADA YA KUSHEHEREKEA SIKU AMBAYO BIKIRA MARIA ALIJIFUNGUA MTOTO YESU, Happy new year!!!!!
 
I hope we ni mwanaume... Ukiwa mwanamke utaambiwa unajitangazia biashara, unawatega, and God knows what!
Happy new year to you too.
 
Nini bikra umeenda mbali, ukiwa na t.ako kubwa unatumia mchina.
Ukiwa na kitumbo kidogo unaambiwa nyama na bia za bure. Khaaa!
 
Na ukijisingizia ubikira adhabu yake mtoto wako wa kifungua mimba ni lazima
anafariki. Masharti na vigezo kuzingatiwa kwenye kuuliza na kujibu maswali.
 
Na ukijisingizia ubikira adhabu yake mtoto wako wa kifungua mimba ni lazima
anafariki. Masharti na vigezo kuzingatiwa kwenye kuuliza na kujibu maswali.

hee ww maneno makali ivyo kwa mwenzio jaman mmh.
na ushindwe.
 
Hata mimi nashangaa sana kusikia wenye bikira wakibezwa,kwenye jamii ya watu waungwana wanatakiwa kupongezwa kwa kushinda vishawishi kutoka kwa wanaume.Maana wadada wengine wakisifiwa wazuri,wakipewa pesa,gari nk.huwa haoni umuhimu wa kujitunza.

Kama kuna zawadi ya pekee binti aweza mpa mmewe siku ameolewa ni BIKIRA yake.Wale ambao walishachakachua na hawawezi rudisha bikira zao acheni kubeza wenzenu.FAHARI YA BINTI NI BIKIRA YAKE.
 
hee ww maneno makali ivyo kwa mwenzio jaman mmh.
na ushindwe.

siyo makali wala nini,
ni mambo ya jadi hayo,
si unajua jadi zina miiko yake,
kwa mfano ukikutwa na bikira siku ya harusi kuna
mila fulani ambazo zinafanywa hasa kwa kabila la kwetu,
endapo utaiba ukafanyiwa hizo mila mara nyingi huwa zinakuzuru.
 
2 Reactions
Reply
Back
Top Bottom