Maadili: ITV kama kawa, Lulu Full uchi

Maadili: ITV kama kawa, Lulu Full uchi

Governor of Bettors-GB

JF-Expert Member
Joined
Jul 14, 2013
Posts
10,730
Reaction score
9,907
Wakuu angalieni ITV sasa hivi kama kawaida yao.
Yaani wao wakilipwa wanafanya lolote,Lulu Live kwenye Kipindi cha kuchagua mshindi.
Sasa nashangaa,hii Sanaa badala ya kuzingatia maadili ndio kwanza inapoteza maadili,na mle kuna mtoto wa under 14.
Yaani nilikuwa naangalia na shemeji zangu nimahamia chumbani.
Hii kazi kweli.
 
Aisee!!,,,Ngoja niende kwa jirani kuangalia tv
 
Mbona mimi sijaona cha ajabu sana hapo mkuu?
Sehemu za kifua kuonekana ni jambo la kawaida, ili mradi hayuko kanisani au msikitini.
 
Nchi haina maadili ,wasimamizi wa maadili yenyewe ndio vilaza wakubwa,
 
Nilikuwa naangalia lakini sauti inasumbua, wameniboa hadi nimeenda kulala zangu au TV yangu mbovu? Lakini mbona chanel zingine iko poa.
 
Wakuu angalieni ITV sasa hivi kama kawaida yao.
Yaani wao wakilipwa wanafanya lolote,Lulu Live kwenye Kipindi cha kuchagua mshindi.
Sasa nashangaa,hii Sanaa badala ya kuzingatia maadili ndio kwanza inapoteza maadili,na mle kuna mtoto wa under 14.
Yaani nilikuwa naangalia na shemeji zangu nimahamia chumbani.
Hii kazi kweli.

wee nawe mpaka leo unaishi na shemeji zako acha upopo wewe...watimue.
 
50 cent sauti ipo powa ila bonyeza audio alafu select left or rite! alafu aibu iliyoje kuna camera imedisplay betri low
 
Hivi we unahisi nani anachukua mpunga? Halafu niwe muwazi binafsi hili lijaji la kiume mkono wa kushoto SILIPENDI!
 
Wanamuziki wa Tanzania, hawajui kutumia jukwaa vizuri na kujiuza kwa watu, Christian Bella kapanda jukwaani kuimba sijui akapera! .. yani bomu kabisa! hivi hawezi kuruhusu vyombo vipigwe vizuri na kuimba kama inavyostahili? Anakalia kutulazimisha tufate anachoimba wakati shoo yake mbovu! Hasira yani najutia ka thelethini kangu. Nimefaidi kidogo tu densa wake alokuwa na kachup keusi! naondoka zangu!
 
Mwenye nyumba unawapisha wahamiaji waangalie TV wewe unakimbilia ndani sasa kuna maana gani kujenga nyumba au kununua TV
 
ITV haiwapi mavazi hosts wa show hii kuna designers alafu unaposema kama kawaida yao lini ITV imekiuka maadili?
 
Kweli kabisa vazi kama hili ni sio la kuvaa kwenye tv. Kwa maadili ya tz ImageUploadedByJamiiForums1409433041.224127.jpg
 
Back
Top Bottom