Mwanajamii
JF-Expert Member
- Mar 5, 2008
- 7,063
- 71
wanawake wajitokeze katika nafasi mbalimbali,kuuondoa mfumo dume
Ikiwa kwwenye msemo... nguvu ya mamba kumai inamaanisha kuwa nguvu ya mamba ni akiwa kwenye maji'kumai" ina maana gani mkubwa?
anazungumzia mchakato wa katiba mpya
Sasa sijui mtoa mada ameleta mada hii kwa sababu gani.......Ikiwa kwwenye msemo... nguvu ya mamba kumai inamaanisha kuwa nguvu ya mamba ni akiwa kwenye maji