kizi kid

Member
Dec 7, 2023
15
18
IMG-20240525-WA0025.jpg

Tunathibitisha dhamire yetu ya dhati ye kuimarisha
amani, usalama na ustawi wa Afrika

Ni dhamira ya Tanzania kukuza
amani na usalama barani Afrika ili
kuweka mazingira stahiki ya
kujenga ustawi wa kijamiina
kiuchumi kwa watu wetu.

Tangukuanzishwa kwake, Baraza
la Amani na Usalama la Umoja wa
Afrika, limekuwa na nafasi muhimu
katika kukuza amani, usalama, na
utulivu katika bara letu.

Historia ya mafanikio yetu katika
harakati za ukombozi wa Bara la
Afrika, lazima itupe hamasa
katika jitihada zetu za sasa za
kulinda amani, kujiletea
maendeleo na kuhakikisha
ustawi wa watu wetu.

Kama ilivyokuwa tangu enzi za
Mwalimu Julius Kambarage
Nyerere, napenda
kuwahakikishia kwamba,
Tanzania itaendelea kutoa
kipaumbele katika kuhakikisha
kuwa Umoja wetu unafikia
malengo yake.
 
Back
Top Bottom