Love is strong than Gravity!!
The Boss.........
Kama unatapika REPORT ABUSEHaya mambo ya multiple IDs ni kichefuchefu kinachonitapisha kila siku.
Nakupa zawadi ya kumtafuta haraka.
Lol..huu uzi ulinipitia kushoto..kumbe huwa sielewekagi?Nilishawahi kusema hapa bila mpangilio wowote kama ifuatavyo:
- Afrodence-excelence ideology
- Ashadii-excelence mind, and quick responce kwa kila comment
- Husninyo-same as above
- Mwanakikjiji-anatumia ubongo kufikiri na wala sio masaburi
- MwanaJamiiOne-same as above
- Smile-huyu anagonga like kama hana akili nzuri vile
- Dena Amsi-sasa hivi anapoteapotea kiaina
- The Finest- Huyu mara nyingi anakeshaga bar,Fidel80 na The Boss
- Asprin-Huyu kaunta za juu za vilezi humkosi, nadhani ni paparazi huyu bwana
- Lizzy-nadhani huyu ni JF celebrity mwenye umri mdogo sana MMU
- Gaijin yuko same status na Eng Nsiande
- Rutashubanyuma-huyu bwana wa copy na paste, anatujuza mengi sana hapa jamvini
- Rejao-Mh huyu member mi mwenzenu simwelewi
- MziziMkavu-sounds like doctor, lakini yupo kiasili zaidi kama mganga wa kienyeji vile
- Sikonge na Waberoya-hawa mambwana hawa, we acha tu.
- Katavi-nilisema na ninasema, huyu bwana ana mwaka wa 3 humu jamvini, post zake hazizidi mistari 2, ni very short post
- Game Theory-He like CIA-haonekani siku hizi jamvini
- Mwita25-mwana mpotevu, kaongoka siku hizi
- .....
- .....
- ......
Wakaka/Wababa: Katavi, Uporoto, Fidel, The Finest, Klorokwini, Asprin, MTM, The Boss, Kaizer, Pakajimmy, Crashwise, Rejao, Mr. Rocky, Mbu, Mwanakijiji, Chatu dume, BAK...
Wadada/ Wamama: AshaDii, King'asti, Husninyo, bht, Gaijin, Mamndenyi, Black Woman, Preta, Dena Amsi, Lizzy, Afro d, MJ1... Hapa Itifaki haijazingatiwa so hakuna wa kwanza wala wa mwisho... Wasipokuwepo hao mie najitoa jf.. Mungu awape maisha marefu.
Ha ha ha, lakini mimi ni Madam, ambaye nimefall siriaz na MMU member, guess who?
The Boss.........
Katavi...umesoma bandiko langu namba 16....nadhani ndio wewe, tumekushika!! kwa mabandiko mafupi
Looh! Sijui nimewaachaje washawasha a.k.a nalog off na figganigga a.k.a mia.mkimaliza kuwachagua wapitisheni hapa kwangu wapate chai,maana ndio naamka mida hii.nalog off
Thanx sana Rejao ila bana mie kule sirudi tena, uwe unakuja kunisalimia huku chit chat na kule mmu.... Ubarikiwe sana.Waoo..Sweetlady! huwa naapreciate uwezo wako wakusimamia unachokiamini..you seem to be a strong woman..kwenye mambo yetu ya politic upo safi sana...
Leo ndio uzinduzi wa bendi ya Klorokwin (Klorokwin Mashauzi Classic Band) amekupa kadi yako ya mwalikoLooh! Sijui nimewaachaje washawasha a.k.a nalog off na figganigga a.k.a mia.
tupitishe katika dirisha dogo.nalog offLooh! Sijui nimewaachaje washawasha a.k.a nalog off na figganigga a.k.a mia.
Ahsante kaka....yes ntakuja unipeleke, utanambia nije sa ngapi.... Ubarikiwe pia kaka mpendwa.yaani umebaki wewe tu kunipa taarifa Sweetlady.....ubarikiwe....utakuja kesho nikupeleke?
Haya mambo ya multiple IDs ni kichefuchefu kinachonitapisha kila siku.
Hahaha!Leo ndio uzinduzi wa bendi ya Klorokwin (Klorokwin Mashauzi Classic Band) amekupa kadi yako ya mwaliko
Nshafungua mlango so pitieni tu kwa mlangoni..nalog offtupitishe katika dirisha dogo.nalog off
hodi x3.nalog offNshafungua mlango so pitieni tu kwa mlangoni..nalog off
hodi x3.nalog off