Nilishawahi kusema hapa bila mpangilio wowote kama ifuatavyo:
- Afrodence-excelence ideology
- Ashadii-excelence mind, and quick responce kwa kila comment
- Husninyo-same as above
- Mwanakikjiji-anatumia ubongo kufikiri na wala sio masaburi
- MwanaJamiiOne-same as above
- Smile-huyu anagonga like kama hana akili nzuri vile
- Dena Amsi-sasa hivi anapoteapotea kiaina
- The Finest- Huyu mara nyingi anakeshaga bar,Fidel80 na The Boss
- Asprin-Huyu kaunta za juu za vilezi humkosi, nadhani ni paparazi huyu bwana
- Lizzy-nadhani huyu ni JF celebrity mwenye umri mdogo sana MMU
- Gaijin yuko same status na Eng Nsiande
- Rutashubanyuma-huyu bwana wa copy na paste, anatujuza mengi sana hapa jamvini
- Rejao-Mh huyu member mi mwenzenu simwelewi
- MziziMkavu-sounds like doctor, lakini yupo kiasili zaidi kama mganga wa kienyeji vile
- Sikonge na Waberoya-hawa mambwana hawa, we acha tu.
- Katavi-nilisema na ninasema, huyu bwana ana mwaka wa 3 humu jamvini, post zake hazizidi mistari 2, ni very short post
- Game Theory-He like CIA-haonekani siku hizi jamvini
- Mwita25-mwana mpotevu, kaongoka siku hizi
- .....
- .....
- ......
kuna watu hapa jf wanamajina makubwa kwa umaarufu wao hapa jf hasa ktk michamgo yao.mimi hawa watu ningependa kuwaita masuper star wa jf! Kwangu mm wapo wengi kama The boss, klorokwin, nyani ngabu,asha d,husninyo,afrodanz na wengine wengi.... Endelea na wewe....
Asante Elia, kumbe jf ina ma-superstar wengi! Wengine hapo siwafahamu..
Gaijin, sikujua kama hapo penye red ni star, hivi kumbe nimejitwalia Eminem au Snoopy dog wa JF. Teh teh
Yupi humfahamu hapo kaka nikupe profile yake! Tatizo nimeambiwa wengine ni mtu mmoja
Gaijin, sikujua kama hapo penye red ni star, hivi kumbe nimejitwalia Eminem au Snoopy dog wa JF. Teh teh
Wakaka/Wababa: Katavi, Uporoto, Fidel, The Finest, Klorokwini, Asprin, MTM, The Boss, Kaizer, Pakajimmy, Crashwise, Rejao, Mr. Rocky, Mbu, Mwanakijiji, Chatu dume, BAK...The Finest, Chatu Dume, Klorokwini, Asprin, Cantalisia, Feis Buku, Sweetlady, WiseLady, Pakajimmy...........n.k
"Gravitation is not responsible for people falling in love." Albert EinsteinHe he kumbe The Boss = Kongosho? Tehe tehe
Wakaka/Wababa: Katavi, Uporoto, Fidel, The Finest, Klorokwini, Asprin, MTM, The Boss, Kaizer, Pakajimmy, Crashwise, Rejao, Mr. Rocky, Mbu, Mwanakijiji, Chatu dume, BAK...
Wadada/ Wamama: AshaDii, King'asti, Husninyo, bht, Gaijin, Mamndenyi, Black Woman, Preta, Dena Amsi, Lizzy, Afro d, MJ1... Hapa Itifaki haijazingatiwa so hakuna wa kwanza wala wa mwisho... Wasipokuwepo hao mie najitoa jf.. Mungu awape maisha marefu.
"Gravitation is not responsible for people falling in love." Albert Einstein
Kongosho, Very strong statement SiR!
AND You know what ..?
Basing on the same argument Intend to think that.. Love is strong than Gravity!!
Ha ha ha, lakini mimi ni Madam, ambaye nimefall siriaz na MMU member, guess who?