hahahah....lol, hawa wengine wote story tu! wewe ndio maza hausi!wewe nakuona unatongoza tu hapa siku nzima huangalii huyu ni mama yangu ama vp .umeanza na mamndeny fb swilady faiza fox na nazjaz
sikutaki tena na sasa hv uko pm na mama tuli wewe vp jamani?
Yaani huyu huyu ninayemfahamu au mwingine? nenda...utarudi tu kunililia,,Mr. Rocky shahidi!
Na wewe mbona unataka kuharibu???/
hahahah....lol, hawa wengine wote story tu! wewe ndio maza hausi!
Dena, naona unataka kunibania kwa feis buku.. jidai kama hujui kitu kabisa..mtoto kafika, nataka nimwonyeshe malavidavi ya kila aina!
Mara Feis buk mara Smile mara sijui nani
Mbona hueleweki
Utakosa wote sasa
Wee hujaona huko nimemwambia atoe msimamo analeta za kuleta simweli kabisa
hahahah....lol, hawa wengine wote story tu! wewe ndio maza hausi!
Madai yake anaruhusiwa kuwa na wake wanne au kuwa kama King Mswati
Nani anataka mimvi yake bana..................
rocky nataka nianzishe uzi wa kukulilia kama wa mdada aliefunguka kwa exellent!! nambie kama u tayari mwee!!!Mara Feis buk mara Smile mara sijui nani Mbona hueleweki Utakosa wote sasa
rocky nataka nianzishe uzi wa kukulilia kama wa mdada aliefunguka kwa exellent!! nambie kama u tayari mwee!!!
rocky nataka nianzishe uzi wa kukulilia kama wa mdada aliefunguka kwa exellent!! nambie kama u tayari mwee!!!
Anzisha aise maana sijaliliwa
Futa baada ya kusoma wasiione
Shindwa ktk jina la yesu
Kuna mtu humu anaandika kama mimi
Dear sio mimi niliandika hapo juu kuna mtu ananiigiliza
Wewe nikikukamata?
Ngoja niombe msamaha bana
Am so sorry sweet dear
Sitarudia tena my sweet