Ma-Single Maza

Ma-Single Maza

Hapo umeongelea upande mmoja wa gender,
Vipi kuhusu hao vijana wanaowapa mimba hao wasichana ikiwa hawana uwezo wa kulea?
Wao hawalaumiki? wapo sawa?

Ndio maana nikasema hii issue ni vizuri zaidi ikajadili chanzo cha tatizo kuliko kujadili matokeo ya tatizo.
Unataka kuniambia wanawake hawana akili kiasi hicho mpaka anaamua kukubali kuzaa mtoto na mtu ambaye anajua uwezo wake ni mdogo kifedha kuhudumia mtoto? au nyege zake zimempelekea kufanya nae hivyo
 
Hapo umeongelea upande mmoja wa gender,
Vipi kuhusu hao vijana wanaowapa mimba hao wasichana ikiwa hawana uwezo wa kulea?
Wao hawalaumiki? wapo sawa?

Ndio maana nikasema hii issue ni vizuri zaidi ikajadili chanzo cha tatizo kuliko kujadili matokeo ya tatizo.
Mwenye uamuzi wa kubeba au kutokubeba mimba ni mwana mke na sio mwanaume.
Hata huo uzinzi unao sababisha hiyo mimba ni mwanamke mwenye maamuzi ya mwisho iwapo huo ufanyike au usifanyike.
 
Mwenye uamuzi wa kubeba au kutokubeba mimba ni mwana mke na sio mwanaume.
Hata huo uzinzi unao sababisha hiyo mimba ni mwanamke mwenye maamuzi ya mwisho iwapo huo ufanyike au usifanyike.
Kama huu usemi wako au imani yako ingekua ni kweli basi watu wasingekua wanahukumiwa kwenda jela kwa kuwapa mimba wanafunzi.
 
Kama huu usemi wako au imani yako ingekua ni kweli basi watu wasingekua wanahukumiwa kwenda jela kwa kuwapa mimba wanafunzi.
Hata anaye mpa mwanafunzi mimba mwanafunzi hana makosa na ndio maana kwenye tafisiri ya sheria za Tz hakuna sehemu inayo sema kuwa kufanya mapenzi na mwanafunzi ni kosa.
Na ndio maana huwa inatumika sheria ya kubaka yaani kumuingilia mwanamke kwa nguvu bila ridhaa yake.
 
Hee utajiri!vijana bhana mkishamiliki smartphone na tv 44 inches,na vyumba viwili vya kupanga mnajiita matajiri
 
Sipo kwenye mahusiano na mama wa aina hiyo
Ila ukweli ni kuwa zipo sababu nyingi ambazo zingine kuwahukumu ni kuwaonea ,tusipende kufanya mjumuisho kwa vitu ambavyo hatujafuatilia kwa makini .

Kuhusu kujihami ,sijajihami bwana mdogo baharia 1 ila imebidi nikueleze mapema maana kwa vile unavyojitanabaisha kuwa na hela nilijua utadhani labda ni umasikini ndiyo unanituma kukuattack bwana tajiri .

Ila narudia tena ,hunizidi chochote kwa umri wako na ulivyo navyo ila zaidi labda umaarufu wako wa hapa jamvini ulioupata kwa kuwachamba masikini wanaopambana kujitafuta .

Sihitaji tuzungumze kwa michambo ,wala kusutana kama wamama ila nataka tufanye kwa vitendo ,niko tayari nikufuate popote ili nikuoneshe nilivyo navyo ujilinganishe ,JE UKO TAYARI RAFKI ? nataka tufanye hivyo leo .

Toa location PM nije tushindanishe utajiri wetu kijana mwenzangu
Mkuu unakabia juu sana hhhhha
 
Mwenye uamuzi wa kubeba au kutokubeba mimba ni mwana mke na sio mwanaume.
Hata huo uzinzi unao sababisha hiyo mimba ni mwanamke mwenye maamuzi ya mwisho iwapo huo ufanyike au usifanyike.
Hii kasumba nashindwa kuielewa kabisa wanamfanya mwanamke kama toto dogo ambaye hajijui
 
ok kumbe ndio maana being 30+ unaponda hao watu na watu wa 30+ ndio chanzo wewe ni sawa na mtu anayeua huku akilia. Lakin if u are 30+ na hujawai ingiza kikojoleo chako ndan ya kikojoleo cha mwanamke >i mean kama bado wewe ni bikra<u have the gurts and all rights to talk like that and if at that age bado una nguvu za kuongelea mass ingle mom bro something must be missing in your brain. Maybe hata wewe ni mmoja wa hao masingle mother.
Acha nirudi kule kwa siasa kwanza nitandke nyago langu nijue kama 7.7 ipo au itahairishwa. Kama umechukia tafuna hizo hasira zako na kama hujachukia nitag kwa uzi wako mwingne tofauti na huu tuzogoe zaidi.
 
Uzi wote huu umejaa bitterness kuliko mantiki, inaonekana kuna mahali uliumizwa wewe siyo bure.

Ni mwanaume yupi mwenye self confidence anayepoteza muda kuandika makala ndefu hivi mtandaoni kupinga maamuzi ya watu wazima?

Mind your own business na uache watu waishi maisha yao.
 
Back
Top Bottom