Mimi binafsi kupitia Jf niliweza kufanikiwa kupata tricks za kuweza kufanya uvuvi wa single mother.Kitu nimegundua kuna trend kubwa ya watu kuwasema singomaza maana watu wameona ina engagement sana.
Ila kiukweli naamini hata 80% of you guys hamjui chochote kuhusu singomaza na wala hamjawahi ku-date na singomaza.
😅😅😅😅😅Sijapenda! Umechoka kudeal na hao mbwa wenzio umehamia kwetu si ndio? Na yalivyo masenge hapa yanasapoti ila kwenye kazi na uvivu yanakupinga wabinafsi mno nyoko nyie!
Single ma,a wee date ila kitakachokukuta usilaumu watu.Kitu nimegundua kuna trend kubwa ya watu kuwasema singomaza maana watu wameona ina engagement sana.
Ila kiukweli naamini hata 80% of you guys hamjui chochote kuhusu singomaza na wala hamjawahi ku-date na singomaza.
Uko sahihi kabisa.Kitu nimegundua kuna trend kubwa ya watu kuwasema singomaza maana watu wameona ina engagement sana.
Ila kiukweli naamini hata 80% of you guys hamjui chochote kuhusu singomaza na wala hamjawahi ku-date na singomaza.
Wanaume wenzetu mnapata faida gani kuleta mada za namna hii kila wakati? Mbona hamtoi elimu kwa wanaume wenzetu wanao changia hilo wimbi la uwepo wa akina mama wanao lea watoto peke yao??
Kwa hiyo hutakiwi kukemea wizi kwa sababu unaweza kuja kuzaa mtoto akawa mwizi?
Kiufupi binti kuzaa kuzalia nyumbani ni jambo la aibu kubwa sana kwa familia yake na linatakiwa kukemewa kwa nguvu zote.
Ukishajua kwamba wanawake wengi ni wahanga wa mapenzi ya kilaghai utajikuta unawahurumia badala ya kuwahukumu single mothers wengi (siyo wote).
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] Noma
umesema ukweli nnaoutaka kila siku. Mtu hata hajafikisha umri wa kuoa kisa tu anamiliki simu anakuja na swag za singo maza na kusema ukweli hajawahi pata hata wa kuongea nae. Mtu anayejielewa hufanya kwanza utafiti kwa kujenga urafiki na hao mass ingle maza na sio siri watakupa mambo ambayo hata wewe ulikuwa huyajui au tofauti na unachofikiria. Sio kupenda kwao wakawa hivyo wengne walipata watoto kwa kutojijua. Wakulaumiwa ni sisi wanaume kwan ndio chanzo cha yote kwa tamaa zetu za mwili. Na mwisho wa siku tunawakimbia. Mimi nna watatu na wote tulijikuta mapenz yamenoga mimba hiyo ikabidi tuendelee na maisha hadi wa leo ni mama watoto wangu.Kitu nimegundua kuna trend kubwa ya watu kuwasema singomaza maana watu wameona ina engagement sana.
Ila kiukweli naamini hata 80% of you guys hamjui chochote kuhusu singomaza na wala hamjawahi ku-date na singomaza.
🤣🤣🤣Sasa wewe kinachokuuma ni kitu gani?
Kwanini ukubali kuzaa ukiwa ujaolewa? Unasomeshwa upate degree kwa jasho na kujinyima the end unawaletea wazazi wako watoto wakuleleeumesema ukweli nnaoutaka kila siku. Mtu hata hajafikisha umri wa kuoa kisa tu anamiliki simu anakuja na swag za singo maza na kusema ukweli hajawahi pata hata wa kuongea nae. Mtu anayejielewa hufanya kwanza utafiti kwa kujenga urafiki na hao mass ingle maza na sio siri watakupa mambo ambayo hata wewe ulikuwa huyajui au tofauti na unachofikiria. Sio kupenda kwao wakawa hivyo wengne walipata watoto kwa kutojijua. Wakulaumiwa ni sisi wanaume kwan ndio chanzo cha yote kwa tamaa zetu za mwili. Na mwisho wa siku tunawakimbia. Mimi nna watatu na wote tulijikuta mapenz yamenoga mimba hiyo ikabidi tuendelee na maisha hadi wa leo ni mama watoto wangu.
Achana na wale wafiwa wa mume, na wale waliobaka sema ni vile tu mtoa mada ameshindwa kuwasilisha vizuri Kuna wimbi kubwa za mabinti zetu kuzalia nyumbani hawa hawapaswi kuonewa huruma mzazi anajitoa na kujinyima kukusomesha badala ya kumletea degree unakuja kumletea watoto wa kulea kama sio umalaya ni Nini? Kwanini ukubali kuzaa na mtu ambaye hajakuletea hata posa kwenu?Tatizo vijana wa siku hizi mmekariri kua Single maza wote wamezalishwa wakiwa makwao,
Hamjui kua kuna single maza wametelekezwa au kuachika na waume zao,
Kuna wanaume wametelekeza familia zao kwa sababu mbalimbali,ikiwemo kutekwa na michepuko,ulevi wakupindukia,kutojishughilisha na kazi za kuwaingizia kipato,kushinda vijiweni...
Nafikiri ni vizuri zaidi kujadili chanzo cha tatizo kuliko kujadili tatizo lenyewe,
Hao single maza hawakujipa mimba wenyewe,kuna mwanaume amehusika hapo.
hilo swali kama una dadako au hata rafiki wa kike ambaye mnataniana atakwambia hujikuta tu bro na mwisho wa siku inakua hivyo. Mfano umempeleka mtoto shule akasome lakin ikafka mda mwingne akaishiwa matumiz coz ni lazma awe nayo sio kama sisi wanaume unaweza maliza hata wiki mbili hujaoga, na akakuta mtu amemnunulia labda tuseme chakula na siku hyo ndo siku yake ya hatari na kawaida mwanamme mjulus ukishaamka dawa ni kudumbukiza tu ndo ipoe mwisho mimba umempa. Hapo ulipo mfano una mke au mchumba but stili unamtaka mwingne huko yaan kipozeo ukimpachka unarud kwa yule wako je nan mwene makosa hapo?Kwanini ukubali kuzaa ukiwa ujaolewa? Unasomeshwa upate degree kwa jasho na kujinyima the end unawaletea wazazi wako watoto wakulelee
Hapo umeongelea upande mmoja wa gender,Achana na wale wafiwa wa mume, na wale waliobaka sema ni vile tu mtoa mada ameshindwa kuwasilisha vizuri Kuna wimbi kubwa za mabinti zetu kuzalia nyumbani hawa hawapaswi kuonewa huruma mzazi anajitoa na kujinyima kukusomesha badala ya kumletea degree unakuja kumletea watoto wa kulea kama sio umalaya ni Nini? Kwanini ukubali kuzaa na mtu ambaye hajakuletea hata posa kwenu?
Mkuu acha kutetea upumbavu kama kila mwanamke aamue kutumia shida zake kupata anachohitaji si wanawake wote wangekuwa Malaya mbona wewe hutoi ndogo ili upate pesa? Ila Kuna vijana wengi wakiume wanatoa ndogo ili waendeshe maisha hapa townhilo swali kama una dadako au hata rafiki wa kike ambaye mnataniana atakwambia hujikuta tu bro na mwisho wa siku inakua hivyo. Mfano umempeleka mtoto shule akasome lakin ikafka mda mwingne akaishiwa matumiz coz ni lazma awe nayo sio kama sisi wanaume unaweza maliza hata wiki mbili hujaoga, na akakuta mtu amemnunulia labda tuseme chakula na siku hyo ndo siku yake ya hatari na kawaida mwanamme mjulus ukishaamka dawa ni kudumbukiza tu ndo ipoe mwisho mimba umempa. Hapo ulipo mfano una mke au mchumba but stili unamtaka mwingne huko yaan kipozeo ukimpachka unarud kwa yule wako je nan mwene makosa hapo?