Ma-Single Maza

Ma-Single Maza

Mkuu bado una usingizi wewe bwana 😀😀
Serious na wewe umeamini ni nyoka kweli ? Hapana fikicha macho ikiwezekana nawa maji ya baridi usoni tizama tena utaelewa ila usisahau kuocheki mechi ya Brazil maana wahaiti wapo wamemkaba kooni mpaka huruma
Bwashee nitaumia macho bure tuu hapo quality iko chini sana.

Sasa dk ya 14 tu? Hao lazima wachapwe tu
 
USIJIPE MZIGO KUOA SINGO MAZA KAMA UCHUMI WAKO DUNI KITAKULAMBAA

YANI MIMI LEO WA KULAZIMISHWA KULIPA ADA YA MTOTO WAO NA BABA MTOTO LIKO TUU LINAENJOY

KIJANA MWENZAGU KAA MBALI NA SINGO NASEMA WAOGOPE KAMA UKOMA

SINGO MAZA HANA MAPENZI ANACHOJALI NI VIPENGELE VYAKE TUU

MWEZI WA SABA SHULE INAFUNGULIWA BABA WA KAMBO NISHAAMBIW NIANDAE ADA
 
Achana na huo upuuzi
 
Singo maza wengine wala hawajajihusisha na umalaya, inawezekana amekuwa hivyo kwasababu:-
1. Mimba ya bahati mbaya kutoka Kwa mwanaume aliempenda
2. Kudanganywa kuwa ataolewa na huyo alie mpa mimba
3. Uelewa mdogo juu ya maswala ya mapenzi na ngono
4 kuachika , kuacha mume kutokana na sababu mbalimbali inaweza kuwa tabia mbaya za mume wakashindana
5. Kufiwa na mume

Sasa basi tusiwahukumu Kila kitu kinasababu yake.
Kufiwa na mume sawa ila hayo mengine yote ni tabia za kimalaya
 
Back
Top Bottom