Katika hali inayoonesha kuwa lengo lao ni kuwajibu Maaskofu wa ARUSHA, Viongozi wa dini ya Kiislam wamesema wanamtambua Meya wa ARUSHA na watampa Ushirikiano wote.
Haya sasa Mary Chitanda (Chanzo cha yote), tukusikie ukiwaambia Mashekh nao wavue Kobaz, Misuli, Kanzu, vilemba na Balaghashia (Kama ulivyowaambia Maaskofu wavue Majoho sijui ulikuwa unataka wabaki Uchi) na kuingia ulingo wa SIASA.
Au ulikuwa unamaanisha kuingilia kwao siasa ni kwenda kinyume na matakwa ya CCM

huyo anayeomba source leo jana alikuwa wapi kusikiliza vyombo vya habari?! Mbona suala lipo uchi! By the way hao masheikh wasituzingue bana walikuwa wapi kumkubali kabla mpaka waone maaskofu wamemkataa nao ndio wanajitia kimbelefront kumkubali kama si unafiki ni nini?
Siwezi kukataa ila ukweli utabaki paleplae hao masheikh ni wale wa jumuia ya Kiislam ya CCM inaitwa BAKWATA. Wao wapo kwa ajili ya maslahi ya chama zaidi.
MUONGO MKUBWA,fanya utafiti acha kueleza uongo mradi utetee hoja yako.Masheikh wa BAKWATA si wote wako CCM na BAKWATA si organization ya kisiasa,kwahiyo tuseme maaskofu wako CHADEMA kwakuwa wali-condemn mauaji ya Arusha,wao walikuwa wanatimiza wajibu wao na BAKWATA imetimiza wajibu wake......Kwakuwa wametofautiana kauli kwenye hili la meya ndo unaanza kuwasema kwa kejeli???Lini na wapi imeandikwa kwamba BAKWATA na MAASKOFU wakubaliane kwenye kauli zao.......i call this cheap arguments,thats demorcracy and there is freedom which allow us to differ in our opinions for God's sake.Eti wako kumaslahi ya chama zaidi?????kama wewe ulivyo kwa maslahi ya chama zaidi na ndo maana unasema uongo kutetea hoja ya chama fulani iliyoungwa mkono na maaskofu.
hapo ndo nakukubali sokomoko ukweli utakuweka huru mkuu. Naunga mkono hoja yako mkuu nimekugongea naliasante.mleta mada ni mchukia uislam habari yake haina source na uislamu umekataa kuuwa/kudhulum nafsi hao mashekh watakaohalalisha mauaji yale ya arusha watakuwa si mashekh ni mashehena.
{{wala msiue nafsi ambayo mwenyezi mungu amekataza (kuiua) isipokuwa kwa haki (akahuhumu hakimu kuwa mtu huyo anastahiki kuuawa na akatoa amri ya kuuawa). Na mwenye kuuawa kwa kudhulumiwa, basi tumempa nguvu mrithi wake (juu ya muuaji huyo, akitaka ataomba kwa hakimu kuwa amuuwe kama alivyomuuwa mtu wake na akitaka atamsamehe, na akitaka atamtoza kitu). Basi (huyo mrithi asifanye fujo katika kuua kwa ajili ya huyo mtu wake aliyeuliwa). Hakika yeye atasaidiwa (na sharia maadamu anayo haki).}} [17:33]
tukiegemea kwenye aya hii, hairuhusiki kwa uislamu kuua mtu yeyote asiye na kosa kwa baadhi ya makosa ya jinai. Ni vyema tukakumbuka katika nukta hii, tofauti iliyofanywa hapo juu baina ya qur-aan na sunnah, na waislamu; ni qur-aan na sunnah pekee ndizo zilizoafikiwa kuwa zinaendana pamoja na matakwa ya muumba, wakati waislamu wanaweza sana kutetereka. Hivyo, kama muislamu yeyote ataua mtu asiye na hatia, muislamu huyo ametenda dhambi mbaya kabisa, na hakika tendo hilo haliwezi kudaiwa kuwa limefanywa "kwa jina la uislamu".
Mama wewe ndio umesema maneno hayo kwenye rangi nyekundu, Uislam unasema tukemee uovu na dhulma ya aina yoyote ile hausemi anaekemea yupo chadema. Toa fikra ya kidini soma vizuri maoni yangu utaelewa naamanisha nini. Na kama huijui bakwata soma historia yake ilivyoanzishwa na nani aliianzisha kwanini na kabla ya hapo kulikuwa na chombo gani cha waislamu na kwanini kilivunjwa!
kama hawako kwa manufaa ya chama wako kwa manufaa ya nani kwa kuunga mkono dhuruma mimi naungana na sokomoko!sina fikra za kidini ila wewe unazo kwakusema kwenye post yako bakwata wako kwa maslahi ya chama zaidi,naijua historia ya bakwata,hatuko kwenye mfumo wa chama kimoja,kuna watu kwenye hiyo jumuiya wako cuf,chadema,appt nakadhalika nawafahamu,sasa wewe kusema wako kwa maslahi ya chama ndo nikasema ni uongo mweupe, na nikatoa mfano sijasema ndivyo ilivyo naona una badili mwelekeo wa point yangu ya msingi,kwamba je kwakuwa maaskofu walitimiza wajibu wao ambao mi naona wako sahihi kabisa wa kupinga kile kilichofanyika arusha,je tuseme nao wako chadema na wako kwa maslahi ya chama??? Nilichotaka kusema ni kuwa bakwata wamesema wanavyoona wao na wakaamua kumuunga mkono meya ambaye kuchaguliwa kwake kulikuwa na utata,lakini si kwamba wako kwa maslahi ya chama,kwa kuwa wanajumuiya ya bakwata si wanachama wa chama kimoja.
Sina fikra za kidini ila wewe unazo kwakusema kwenye post yako BAKWATA wako kwa maslahi ya chama zaidi,naijua historia ya BAKWATA,hatuko kwenye mfumo wa chama kimoja,kuna watu kwenye hiyo jumuiya wako CUF,CHADEMA,APPT nakadhalika nawafahamu,sasa wewe kusema wako kwa maslahi ya chama ndo nikasema ni uongo mweupe, na nikatoa mfano sijasema ndivyo ilivyo naona una badili mwelekeo wa point yangu ya msingi,kwamba je kwakuwa maaskofu walitimiza wajibu wao ambao mi naona wako sahihi kabisa wa kupinga kile kilichofanyika Arusha,je tuseme nao wako CHADEMA na wako kwa maslahi ya chama??? Nilichotaka kusema ni kuwa BAKWATA wamesema wanavyoona wao na wakaamua kumuunga mkono meya ambaye kuchaguliwa kwake kulikuwa na utata,lakini si kwamba wako kwa maslahi ya chama,kwa kuwa wanajumuiya ya BAKWATA si wanachama wa chama kimoja.