Makamba amruka Katibu wa CCM Arusha

kilimasera

JF-Expert Member
Dec 2, 2009
3,068
268
CHAMA cha Mapinduzi kimemshukia katibu wake wa Mkoa wa Arusha Mary Chatanda kwa kauli yake iliyotafsiriwa juzi na Kada wa chama hicho John Malecela kuwa ni utovu wa nidhamu kwa maaskodu.

Mwishoni wa juma lililopita, katibu huyo aliwataka maaskofu mkoani humo kutoingilia masuala ya siasa vinginevyo wavue majoho na kujiingiza kwenye siasa.

Chatanda ambaye ndiye chanzo cha mgogoro wa uchaguzi wa umeya wa mkoani humo hasa kutokana na kupiga kura kama diwani wa Arusha, ilhali alichaguliwa mbunge wa viti maalumu kupitia Mkoa wa Tanga, alisema masuala ya kisiasa waachiwe wanasiasa.

"Tunawaheshimu sana viongozi wa dini, ila wanapoingilia masuala ya siasa ni bora wavue majoho tukutane viwanja vya siasa kama alivyofanya mwenzao Dk Slaa," alisema Chatanda. Jana Katibu Mkuu wa CCM, Yusuf Makamba alisema kuwa kauli hiyo ni ya Chatanda mwenyewe na sio msimamo wa CCM.

"Unajua kijana alichoongea Chatanda sio msimamo wa chama. Chama kina taratibu zake kabla ya kutoa tamko," alisema Makamba na kutaja Kamati kuu kuwa ndio yenye mamlaka ya kujadili jambo na kutolea tamko.

Aliongeza kuwa kila chama kina taratibu zake katika utoaji wa maamuzi kwa upande wa CCM nayo ina taratibu zake ambazo zinatakiwa kufuatwa ikiwa ni pamoja na kukaa kikao cha kamati kuu ili kutoa kauli moja ikiwa kumetokea jambo fulani la kujadiliwa.

Kauli hiyo ya Makamba aliitoa akiwa anajibu kauli ya Waziri Mkuu mstaafu , John Malecela ambaye alidai Chama Cha Mapinduzi kiwaombe radhi maaskofu baada ya kuwataka wavue majoho na kuingia kwenye siasa. Malecela alisema kuwa huo ni utovu wa nidhami uliofanywa na chama hicho hivyo kinachotakiwa ni kuomba radhi maaskofu hao. Malecela ambaye pia ni kada wa CCM ,wakati anaitoa kauli yake hiyo alionekana kukasirishwa na hatua ya chama hicho kwa viongozi hao wa dini.

Januari 7 mwaka huu, maaskofu wa Makanisa ya Kikristo mkoani Arusha, walitoa tamko la pamoja la kutomtambua Meya wa Jiji la Arusha aliyeteuliwa na CCM na kuweka bayana kwamba "hawatampa ushirikiano". Walitoa tamko hilo wakati wakilaani hatua ya polisi mkoani Arusha kutumia nguvu kupita kiasi katika kuvunja maandamano ya amani ya Chadema na hivyo kusababisha vifo vya watu wanne na kujeruhi wengine zaidi ya 20.

Akisoma tamko la umoja wa viongozi wa dini ya Kikristo mkoani Arusha, Askofu Mkuu wa Kanisa Katoliki Jimbo Kuu la Arusha, Josephat Lebulu alisema Jeshi la Polisi ndilo lilikuwa chanzo cha vurugu hizo. "Sisi kama viongozi wa dini hatuwezi kushirikiana na mtu ambaye hakushinda kihalali, kuna mtu alipiga kura si diwani wa Arusha, Chadema hawakushirikishwa na pia taratibu na kanuni za uchaguzi huo zilikiukwa," alisema askofu huyo.
Makamba amruka Katibu wa CCM Arusha
 
Kazi ipo,sasa yeye huyu mama aliongea bila hata kumtaarifu Katibu Mkuu ambaye ana report kwake???Nafikiri tunadanganywa hapa na huyu mzee! anyway,tusubiri basi CCM nao watoe tamko lao kama hilo la Mary lilikuwa lake............am fed up!
 
Asijibaraguze huyu mzee aliyechoka. Marry kwa kauli zake si ndio mentor wake, kwani kipindi cha kampeni hata Makamba alishwahi kuitoa. So ndio kawaida ya chama chake.
 
Makamba yupo sahihi kwasababu mary chitanda ametoa kauli yake kama mary chitanda
sasa kauli hiyo ingekuwa inamanufaa kwa ccm angesema ni ya ccm sasa anaona haina manufaa . Hivyo anasema niyake na familia yake.

Sasa tunajiuliza kauli hiyo ni ya kisiasa ??
Sasa kama ni ya kisiasa mary chitanda ni chama gani??
Kama ni ccm , je ndani ya ccm kuna chama kingine??
Kama hakuna je je ndani ya ccm kuna upinzaini??

Hakika yusufu makamba anafanya kazi nzuri sana ya upinzani ndani ya ccm!!
Mda wote yeye anapinga wenzake na kuimarisha kambi ya upinzani!!
Makamba anapaswa kupewa tunzo
 
Makamba: Mapinduzi Tanzania, yataanza na Mapinduzi ndani ya CCM

KAMA ambavyo vijana wa Tanzania walivyotaka kubadili bunge liwe na sura za
ujana zaidi ndivyo wanavyotakiwa pia kujiunga kwa wingi na CCM ili kuondoa
wazee wenye mawazo na mitazamo iliyopitwa na wakati katika safu za uongozi wa
chama hicho.

Wanafunzi katika vyuo mbalimbali nchini, wahitimu katika viwango mbalimbali vya
elimu, wasanii, wanasiasa chipukizi, wajasiriamali ni vijana wasiokuwa na ujira na
ajira ya uhakika.

Haya yanatokea kwa sababu wazee wanaotuongoza wamefikia mwisho wa uono
wao na hawajui kwamba kuna njia mbadala na sahihi zaidi za kuiongoza nchi ili
kuwatoa watu toka kwenye kukosa ajira, njaa isioisha, maradhi yasiyo na dawa,
elimu bila kazi, ustadi na ufundi bila kipato na ujasiriamali bila masoko.

Tuchukulie kwa mfano kwamba chama hivi leo kimesheheni wazee. Na chama kina
wanachama milioni moja. Ni takriban kama wanachama kati ya 100-300 katika kila
tawi la CCM. Sasa kinachotakiwa wakati tunaelekea kwenye miaka 34 ya CCM ni
kwa kila tawi kushuhudia idadi kubwa ya vijana wakijiandikisha katika kila tawi ili
idadi ya vijana iwe kubwa kuliko ile ya wazee na watu wa umri wa kati. Hili
linawezekana.

Ni muhimu liwezekane, maana, vijana msijidanganye kwamba mnaweza kuibadili
nchi hii kupitia nje ya CCM. Ni lazima muingie kwanza CCM na mpiganie uongozi
na katika nafasi mpya ya uongozi wa chama ndipo mtakapoweza pia kuubadili
mustakabali wa nchi.

Matatizo yote ya vijana iwe ni mikopo ya masomo, ajira, uwezeshwaji kijasiriamali,
maendeleo katika sanaa na michezo yanawezekana. Lakini yatawezekana tu pale
ambapo Mr. Too hatakuwa mmoja bungeni bali wengi. Na ili kuingia bungeni kwa
uhakika njia ya mkato na safi zaidi kuliko zote ni kupitia chama ambacho wananchi
wanaamini kwamba wanachama waliopo kushoto na kulia na viongozi wao
wamekosa nuru na mwanga wa kuongoza na wanahangaika nyikani kwa hivi sasa.
Vijana wenye nguvu na msukumo mpya ndani ya CCM hawatahitaji rushwa ili wachaguliwe na wajumbe wa mkutano mkuu; vijana sio lazima wawe mafisadi kwa fedha ya kuchotwa hazina; vijana sio lazima wawadhulumu masikini haki zao ili ndio wao waneemeke; vijana hawataiba kura ili washinde, kwani watataka kwanza kukubalika na watu; na vijana hawana sababu ya kuwa walaghai, wababe na watumia musuli dhidi ya wanyonge katika jamii.

Vijana mtambue kwamba idadi yenu katika nchi hii ni zaidi ya asilimia 55 kwa
takwimu za miaka kama 5 iliyopita. Je, wingi wenu mtautumiaje kuleta mabadiliko
mnayotaka katika maisha yenu. Ni kwa kukaa nje ya vyama vya siasa au kwa
kuingia kwenye vyama hivyo ili kubadili mwelekeo msiokubaliana nao hata kidogo ?

https://www.jamiiforums.com
 
CHAMA cha Mapinduzi kimemshukia katibu wake wa Mkoa wa Arusha Mary Chatanda kwa kauli yake iliyotafsiriwa juzi na Kada wa chama hicho John Malecela kuwa ni utovu wa nidhamu kwa maaskodu.

Mwishoni wa juma lililopita, katibu huyo aliwataka maaskofu mkoani humo kutoingilia masuala ya siasa vinginevyo wavue majoho na kujiingiza kwenye siasa.

Chatanda ambaye ndiye chanzo cha mgogoro wa uchaguzi wa umeya wa mkoani humo hasa kutokana na kupiga kura kama diwani wa Arusha, ilhali alichaguliwa mbunge wa viti maalumu kupitia Mkoa wa Tanga, alisema masuala ya kisiasa waachiwe wanasiasa.

"Tunawaheshimu sana viongozi wa dini, ila wanapoingilia masuala ya siasa ni bora wavue majoho tukutane viwanja vya siasa kama alivyofanya mwenzao Dk Slaa," alisema Chatanda. Jana Katibu Mkuu wa CCM, Yusuf Makamba alisema kuwa kauli hiyo ni ya Chatanda mwenyewe na sio msimamo wa CCM.

"Unajua kijana alichoongea Chatanda sio msimamo wa chama. Chama kina taratibu zake kabla ya kutoa tamko," alisema Makamba na kutaja Kamati kuu kuwa ndio yenye mamlaka ya kujadili jambo na kutolea tamko.

Aliongeza kuwa kila chama kina taratibu zake katika utoaji wa maamuzi kwa upande wa CCM nayo ina taratibu zake ambazo zinatakiwa kufuatwa ikiwa ni pamoja na kukaa kikao cha kamati kuu ili kutoa kauli moja ikiwa kumetokea jambo fulani la kujadiliwa.

Kauli hiyo ya Makamba aliitoa akiwa anajibu kauli ya Waziri Mkuu mstaafu , John Malecela ambaye alidai Chama Cha Mapinduzi kiwaombe radhi maaskofu baada ya kuwataka wavue majoho na kuingia kwenye siasa. Malecela alisema kuwa huo ni utovu wa nidhami uliofanywa na chama hicho hivyo kinachotakiwa ni kuomba radhi maaskofu hao. Malecela ambaye pia ni kada wa CCM ,wakati anaitoa kauli yake hiyo alionekana kukasirishwa na hatua ya chama hicho kwa viongozi hao wa dini.

Januari 7 mwaka huu, maaskofu wa Makanisa ya Kikristo mkoani Arusha, walitoa tamko la pamoja la kutomtambua Meya wa Jiji la Arusha aliyeteuliwa na CCM na kuweka bayana kwamba "hawatampa ushirikiano". Walitoa tamko hilo wakati wakilaani hatua ya polisi mkoani Arusha kutumia nguvu kupita kiasi katika kuvunja maandamano ya amani ya Chadema na hivyo kusababisha vifo vya watu wanne na kujeruhi wengine zaidi ya 20.

Akisoma tamko la umoja wa viongozi wa dini ya Kikristo mkoani Arusha, Askofu Mkuu wa Kanisa Katoliki Jimbo Kuu la Arusha, Josephat Lebulu alisema Jeshi la Polisi ndilo lilikuwa chanzo cha vurugu hizo. "Sisi kama viongozi wa dini hatuwezi kushirikiana na mtu ambaye hakushinda kihalali, kuna mtu alipiga kura si diwani wa Arusha, Chadema hawakushirikishwa na pia taratibu na kanuni za uchaguzi huo zilikiukwa," alisema askofu huyo.
Makamba amruka Katibu wa CCM Arusha
Hakuna lolote hapo.....wote hao ni wale wale tu.... wanachokifanya ni kutuhamisha kwenye mjadala wa yaliyotokea Arusha na kutuweka kwenye mjadala wa huyo Maria na baba Januari
 
Hata kama Chatanda ni kauli yake, bado yeye ni katibu wa ccm wa mkoa hivyo makamba na chama chake wanapaswa kutoa tamko la kukaripia katibu huyo

kwa kauli ya makamba naona anakubaliana na kauli ya katibu wake, bado chama kinapaswa kuwajibika kwa kauli hiyo, siyo kukwepa
 
Kazi ipo,sasa yeye huyu mama aliongea bila hata kumtaarifu Katibu Mkuu ambaye ana report kwake???Nafikiri tunadanganywa hapa na huyu mzee! anyway,tusubiri basi CCM nao watoe tamko lao kama hilo la Mary lilikuwa lake............am fed up!
hahahahahha sasa anaetoa kauli za ccm ni nani?? kama siyo viongozi wake kama akina CHATANDA.???
 
Kazi ipo,sasa yeye huyu mama aliongea bila hata kumtaarifu Katibu Mkuu ambaye ana report kwake???Nafikiri tunadanganywa hapa na huyu mzee! anyway,tusubiri basi CCM nao watoe tamko lao kama hilo la Mary lilikuwa lake............am fed up!
wote waigizaji tu,,, its a circus at its best

TRUST NO POLITICIAN
 
Did anyone expect anything material from a deaf and a dumb?...
Makamba kinachomweka mjini ni kauli zake za uswahili na porojo tu za mdomoni...uelewa sifuri!
 
CHAMA cha Mapinduzi kimemshukia katibu wake wa Mkoa wa Arusha Mary Chatanda kwa kauli yake iliyotafsiriwa juzi na Kada wa chama hicho John Malecela kuwa ni utovu wa nidhamu kwa maaskodu.

Mwishoni wa juma lililopita, katibu huyo aliwataka maaskofu mkoani humo kutoingilia masuala ya siasa vinginevyo wavue majoho na kujiingiza kwenye siasa.

Chatanda ambaye ndiye chanzo cha mgogoro wa uchaguzi wa umeya wa mkoani humo hasa kutokana na kupiga kura kama diwani wa Arusha, ilhali alichaguliwa mbunge wa viti maalumu kupitia Mkoa wa Tanga, alisema masuala ya kisiasa waachiwe wanasiasa.

"Tunawaheshimu sana viongozi wa dini, ila wanapoingilia masuala ya siasa ni bora wavue majoho tukutane viwanja vya siasa kama alivyofanya mwenzao Dk Slaa," alisema Chatanda. Jana Katibu Mkuu wa CCM, Yusuf Makamba alisema kuwa kauli hiyo ni ya Chatanda mwenyewe na sio msimamo wa CCM.

"Unajua kijana alichoongea Chatanda sio msimamo wa chama. Chama kina taratibu zake kabla ya kutoa tamko," alisema Makamba na kutaja Kamati kuu kuwa ndio yenye mamlaka ya kujadili jambo na kutolea tamko.

Aliongeza kuwa kila chama kina taratibu zake katika utoaji wa maamuzi kwa upande wa CCM nayo ina taratibu zake ambazo zinatakiwa kufuatwa ikiwa ni pamoja na kukaa kikao cha kamati kuu ili kutoa kauli moja ikiwa kumetokea jambo fulani la kujadiliwa.

Kauli hiyo ya Makamba aliitoa akiwa anajibu kauli ya Waziri Mkuu mstaafu , John Malecela ambaye alidai Chama Cha Mapinduzi kiwaombe radhi maaskofu baada ya kuwataka wavue majoho na kuingia kwenye siasa. Malecela alisema kuwa huo ni utovu wa nidhami uliofanywa na chama hicho hivyo kinachotakiwa ni kuomba radhi maaskofu hao. Malecela ambaye pia ni kada wa CCM ,wakati anaitoa kauli yake hiyo alionekana kukasirishwa na hatua ya chama hicho kwa viongozi hao wa dini.

Januari 7 mwaka huu, maaskofu wa Makanisa ya Kikristo mkoani Arusha, walitoa tamko la pamoja la kutomtambua Meya wa Jiji la Arusha aliyeteuliwa na CCM na kuweka bayana kwamba "hawatampa ushirikiano". Walitoa tamko hilo wakati wakilaani hatua ya polisi mkoani Arusha kutumia nguvu kupita kiasi katika kuvunja maandamano ya amani ya Chadema na hivyo kusababisha vifo vya watu wanne na kujeruhi wengine zaidi ya 20.

Akisoma tamko la umoja wa viongozi wa dini ya Kikristo mkoani Arusha, Askofu Mkuu wa Kanisa Katoliki Jimbo Kuu la Arusha, Josephat Lebulu alisema Jeshi la Polisi ndilo lilikuwa chanzo cha vurugu hizo. "Sisi kama viongozi wa dini hatuwezi kushirikiana na mtu ambaye hakushinda kihalali, kuna mtu alipiga kura si diwani wa Arusha, Chadema hawakushirikishwa na pia taratibu na kanuni za uchaguzi huo zilikiukwa," alisema askofu huyo.
Makamba amruka Katibu wa CCM Arusha

Kaazi kwelikweli,
sasa kila kauli ikijulikana kuwa ni pumba wanadai ni kauli binafsi. Nadhani sasa inabidi kabla ya kutoa kauli yoyote ccm inabidi kwanza watueleze kama ni binafsi, ya chama au ya serikali.
 
hivi huyu mzee kiwango cha skuli vip?hebu ni juzeni maana anatumia ukapteni zaidi kufikisha ujumbe,memkwa au vp?
 
huyu mzee apunzike kwani kichwa kimechoka kutokana na ukampteni wa jeshi,watu wa kazi hiyo wapo wengi au kuna kitu mbona na kiranja mkuu hakohi?
 
Wakati anatoa kauli Chatanda inasemekana aliambatana na mwenyekiti wa CCM mkoa, itakuwaje hiyo kauli iwe ya chatanda binafsi. Kwani waandishi walimfuata chatanda nyumbani kwake ili kupata kauli yake au ccm mkoa ndo iliita waandishi wa habari ?
 
Hii kauli ya mwana dada huyu ,kama amesema wadini wasiingilie siasa atakuwa yupo kwenye mstari kabisa,tamko hili sio lazima litoke upande gani ,bali ni tamko la wanasiasa wote wa vyama vyote,.

Ni lazima kama Mashehe au Mapadre wanataka siasa basi wavue majoho na kujiunga na vyama vya siasa ili watu wakutane katika viwanja vya siasa na mifano ipo mingi tu,wapo wengi ambao wameweka kando majoho ya udini na wameingia kwenye siasa,si lazima uwache kazi yako ,ila usichanganye mambo, ya siasa yazungumze kwenye jukwaa la siasa na ya dini yazungumze hukohuko kwenye mahekalu ya kidini.

Bakwata amesema meya ni sahihi Makanisa wamesema Meya sio sahihi ,hawa wote wanafaa kujibiwa kuwa waweke kando magwanda ya kidini na wajiunge kwenye viwanja,mnaomlaumu huyo mwanadada mtakuwa hamjui mtendalo.

Haya ni mapambano ya vyama vya siasa pinzani na Chama Tawala na serikali yake.
 
Hicho kichwa cha habari cha makamba kumruka katibu wa ccm wa arusha, mbona kimekaa vibaya!!! Au mzee ulikusudia ieleweke hivyo??
 
Back
Top Bottom