Ma Secretary!!

Msandawe Halisi

JF-Expert Member
Joined
Nov 5, 2010
Posts
647
Reaction score
351
Pindi mkiwa nyumba ndogo za maboss wenu mnaleta matatizo sana maofisini kwenu kwa wafanyakazi wenzenu.

Kama huyu wa hapa kampuni ya kuuza matairi.
Yeye ameshakuwa Deputy Director. Ana hire na kufire, akikuchukia kazi ipo mashakani.
Masecretary acheni unoko pindi mkiwa na mahusiano na maboss wenu.

Hivi still najiuliza, kwani kuwa na mahusiano na mabosi wenu ni security ya kazi au ufahari au nini
 
Mke wa bosi wako ni bosi wako... actually hata mbwa wake...
 
Hili nalo neno!! tena unakuta masecretary wengine ndio wasemaji wa maboss ilihali hata boss mwenyewe hujakutana nae usoni. Ma secretary wengine kutembea na maboss ni ufahari kwao! Na hivi wana kongamano lao mwezi ngoja waje.
 
sio hao tuu... sis watz sijui tuna nini bana... mtu akiwa na kacheo kidogo lazima mumtambue....
Kwa ufupi majivuno mengi kuliko uwajibikaji... Kila mtu anajifanya cheo chake ndo cha muhimu kuliko wengine... UJINGA TUU
 
Si vyema kuwahukumu wote kutokana na ujinga wa mmojawapo. Kila mmoja ana hulka zake.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…