Ma Powderrrrrrrrrrr

Spear_

JF-Expert Member
Joined
Dec 29, 2010
Posts
1,881
Reaction score
1,500


Hivi huko dada zetu wanapoendaga kupambwa hakunaga vioo? hapo atamlaumu aliyempamba...kwani yeye alikuwa hajioni? angalia uso na mabega.......!!
 
Kajitahidi anakoelekea sasa ni kwa sauda mwilimA.
 
Mwenzio anaona kapendeza.
OTIS
 
jaman mwachen dina marios wangu
alienda kufuta lakin ata mwenyewe alijishtukia....
kwanin upake poda?wanja? 2me noooooooooooooooooooooooooooooo.....oga fresh paka body care yako na kanguo kako kamenyoshwa then ahhhh mzuri wewe simpooooooooooooooooo ....mnajikandika madudu km udongowa mfinyaz ili iweje?



nw nw atamkuta mwilima....kijiuso km anachungulia dirishan(kwa ruhusa ya gea)
 
Kichefuchefu! Oops sorry "kigeugeu"...
 
bora angebaki natural bila kupaka chochote hiyo powder ya Dubai imemtoa nishai kwa kweli..
 
hamna jipya hapa, miguu pepsi mikono mirinda



mhh jaman uyu apana
wala ajikoboi ni uko kupenda kwao kurembwa bure na saloon wanazozirusha ndo kunaawaponza....unarembwa na mwarabu sjui mchina unategemea nin?



dina mwaya una ngozi nzur cha msing achana na mapouda...paka simple vaseline utapendeza ayo mapouuuuuuuuuuuuuuuuuda waachie wenyewe magume gume ya mjin

UZUR WA MWANAMKE UPO KWENYE

1.KUJIAMNIN
2.AKILI KICHWAN
3.KUJUA WAT TO DO WHERE N WEN
4.KUWA NA HURUMA NA UTU


IN SHOT UZUR WA MTU UPO NDANI SI NJE MAMA ...msijidanganye na mawanja na mapoda ayo km ukuta uliopakwa sadolin:A S 576:

my dear kaa na ant sadaka akupe falsafa ya uzuri..au ata km una weza ku google ebu chek ARISTOTLE,PLATO NA SOCRATE wanazungumziaje ju ya kitu uzuri....


urembo unaendana na hadhi ya mtu...sasa mtu km wew unajiremba km naniniiiiii mhh m afraid afu mnavyojifanya mnajua kila kitu redion mnachambua kumbe kwenye practical nehhhhhhhhhhhhhhhhh
 
Huyu uliyemtaja sijui ni lini atapatia mtu wa kumremba vzr....

uyu mpk siku atakapojikubal ndo atapendeza lasi vyo ataendelea kuwa kinyago cha mpapure mpk siku anakanumba
 
Huyu uliyemtaja sijui ni lini atapatia mtu wa kumremba vzr....



hata arembwe na Iman yule supa modal! ng'o hawezi pendeza maana mkorogo wake sio wa lotion ni wa vidonge nadhani, so impakt huwa ni kubwa! kuna mahali nimepita nikakuta mtu kacoment kuwa picha aliyopiga na dida kwenye harusi yake ni kama defao na madilu! kwi kwi kwi! nimecheka sana!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…