Ma house boy na wake za watu

Ma house boy na wake za watu

Inatokea, na sometimes ni genuine feelings, huwezi pinga. Kuna movie ya zamani ya kinaija inaitwa Goodbye another day, mzee mwenye nyumba alimpenda hg for real, afanyeje sasa, ikabidi tu.

But nina principle moja, siwezi tamani mtu aliye under my care, mtu anayeishi nyumbani kwangu ana hadhi ya kuwa mwanangu, hawezi kuwa mpenzi. Na ninamwomba Mungu niendelee na mtizamo huu huu, ndo maana mie faza hausi akila hg, ndoa iko matatani kuliko anavyofikiria, bora akale barmaid 10 kuliko hg mmoja wa nyumbani kwangu.

It's just the way my brain hutafsiri mambo, naona kama akila hg kuna siku atakula mtoto wetu. Kuna ndugu yangu niliishi naye akala hg wangu, nilifukuza wote ndani ya masaa kadhaa.

Ni sawa ,ila wakitokea wakavunja ndoa ya mtu sii jambo la ajabu
 
Inatokea, na sometimes ni genuine feelings, huwezi pinga. Kuna movie ya zamani ya kinaija inaitwa Goodbye another day, mzee mwenye nyumba alimpenda hg for real, afanyeje sasa, ikabidi tu.

But nina principle moja, siwezi tamani mtu aliye under my care, mtu anayeishi nyumbani kwangu ana hadhi ya kuwa mwanangu, hawezi kuwa mpenzi. Na ninamwomba Mungu niendelee na mtizamo huu huu, ndo maana mie faza hausi akila hg, ndoa iko matatani kuliko anavyofikiria, bora akale barmaid 10 kuliko hg mmoja wa nyumbani kwangu.
Kutamani hakupo kwenye milki yetu wanadamu ila kufuata matakwa ya kutamani ndio kupo ndani ya mamlaka yetu

Unaweza kumtamani hausi boi lakini ukajizuia kufanya kitendo cha hovyo nae
It's just the way my brain hutafsiri mambo, naona kama akila hg kuna siku atakula mtoto wetu. Kuna ndugu yangu niliishi naye akala hg wangu, nilifukuza wote ndani ya masaa kadhaa.
Hapana,mtoto ni tofauti na HG au HB

Kuna kitu kinaongezeka hapo ili kimfanye mtu amvae mtu na kumuambia yale ambayo yanausibu moyo wake

Kuna mahali nimekuona ukisema kuwa unatakiwa uweke mipaka ya mazoea maana unaweza kuja kutongozwa na HB,hii sio sawa,jambo moja usilolijua ni kuwa,unaweza ukaweka mipaka lakini huwezi kuweka mipaka ya kumzuia HB asikutamani wewe mama mwenye nyumba,na akisha kutamani hapo kuna mambo mawili tu yanaweza yakazuia aikuambie nayo ni uoga na ujasiri

Hata kama utakuwa umeweka mipaka ya aina gani kama ni jasiri atakuvagaa na kukuambia tu na hapo utavurugikiwa na akili kwakuwa wewe ni mwanamke na utaanza kuwaza huyu amefikiriaje na amenionaje na mengine mengi na bila kujua unaanza kumuingiza kwenye ubongo wako na hatimae atakuja kukubanjua tu

Kama atakuogopa ni kwasababu za uoga tu na sio mipaka uliyoiweka,mwanaume hatakiwi kumuogopa mwanamke hata kama ni Angela Makhel au Elen Jonson Salif,mwanamke ni mwanamke tu,akijua siri hii tu umeliwa hata kama uweje

Huo ndio ukweli!
 
Kutamani hakupo kwenye milki yetu wanadamu ila kufuata matakwa ya kutamani ndio kupo ndani ya mamlaka yetu

Unaweza kumtamani hausi boi lakini ukajizuia kufanya kitendo cha hovyo nae

Hapana,mtoto ni tofauti na HG au HB

Kuna kitu kinaongezeka hapo ili kimfanye mtu amvae mtu na kumuambia yale ambayo yanausibu moyo wake

Kuna mahali nimekuona ukisema kuwa unatakiwa uweke mipaka ya mazoea maana unaweza kuja kutongozwa na HB,hii sio sawa,jambo moja usilolijua ni kuwa,unaweza ukaweka mipaka lakini huwezi kuweka mipaka ya kumzuia HB asikutamani wewe mama mwenye nyumba,na akisha kutamani hapo kuna mambo mawili tu yanaweza yakazuia aikuambie nayo ni uoga na ujasiri

Hata kama utakuwa umeweka mipaka ya aina gani kama ni jasiri atakuvagaa na kukuambia tu na hapo utavurugikiwa na akili kwakuwa wewe ni mwanamke na utaanza kuwaza huyu amefikiriaje na amenionaje na mengine mengi na bila kujua unaanza kumuingiza kwenye ubongo wako na hatimae atakuja kukubanjua tu

Kama atakuogopa ni kwasababu za uoga tu na sio mipaka uliyoiweka,mwanaume hatakiwi kumuogopa mwanamke hata kama ni Angela Makhel au Elen Jonson Salif,mwanamke ni mwanamke tu,akijua siri hii tu umeliwa hata kama uweje

Huo ndio ukweli
!

Wakati nasoma nilikuwa napata tabu kukuelewa, ila point yako imelala kwenye hiyo red, wewe kwako mwanamke ni mwanamke, ndio ukweli wako, lakini haimaanishi ni ukweli kwa kila mtu. Kama mwanamme anaweza kuweka mipaka, kadhalika mwanamke, labda useme hakuna binadamu anaweza kuweka mipaka ya matongozo.

Nachojua house boy akinitongoza, nitajitazama mwenyewe, wala si yeye saana.
 
Wakati nasoma nilikuwa napata tabu kukuelewa, ila point yako imelala kwenye hiyo red, wewe kwako mwanamke ni mwanamke, ndio ukweli wako, lakini haimaanishi ni ukweli kwa kila mtu.
Kwani kwa mwingine mwanamke anaweza kuwa kondoo na sio mwanamke?
Kama mwanamme anaweza kuweka mipaka, kadhalika mwanamke,
Nilichokiandika hujakielewa

Sijasema mwanaume anaweza kuweka halafu mwanamke hawezi,nilichokisema ni kuwa mipaka haiwezi kumzuia mwanaume kutokumtongoza mwanamke

Mipaka haiamui mwanamke asitongozwe bali mwanaume mwenyewe ndio anaweza kuamua hili
labda useme hakuna binadamu anaweza kuweka mipaka ya matongozo.
Hii ni sawa na nakubaliana na wewe
Nachojua house boy akinitongoza, nitajitazama mwenyewe, wala si yeye saana.
Kwanini ujitazame wakati umesema hapo juu hakuna anaeweza kuweka mipaka ya mtongozo?

Naweza ku sense aina fulani ya kumdharau [sorry to say this] HB maana kama nikikutongoza mimi ambae tunafanya kazi wote au bosi wako na usijitazame,kwanini ukitongozwa na HB ujitazame?

Sijui kama umeliona tatizo hapo!
 
Mimi naangalia suala la mke kutembea na house boy ni kushindwa kwa mume/partner. Iweje mkeo hapati wasaa wa kukaa na wewe mkaliwazana. Wanaume tumeshupalia pombe, shisha na mpira. Houseboy wanayaona haya na wanatumia fursa ipasavyo. Na kwenye game anamsugua Mama kubwa mpaka anaridhika (anafikia kileleni, Orgasm) tofauti na wewe ukishakojoa basi
 
jamani hii mambo mbona ni balaa yaani mama mwenye nyumba unaamua kabisa kuanza mahusiano na house boy kisa nini?
 
Kwanini ujitazame wakati umesema hapo juu hakuna anaeweza kuweka mipaka ya mtongozo?

Naweza ku sense aina fulani ya kumdharau [sorry to say this] HB maana kama nikikutongoza mimi ambae tunafanya kazi wote au bosi wako na usijitazame,kwanini ukitongozwa na HB ujitazame?

Great point!

Ni kweli kuwa kuna ka aina fulani kakujiona bora. I mean, kwani HB siyo binadamu hadi akimtongoza iwe ajabu?

Au ana alama kwenye paji la uso inayosema 'sitaki kutongozwa' na HB?

Ndiyo yale yale ya watu fulani kujiona wao ni watu bora kuliko watu wengine ilhali ukweli ni kwamba hawana ubora wowote ule kuwazidi wengine.
 
alafu mahousboy wanapiga kaz nying sana pale hom znawapa mazoez na wakipewa shughuli wanasmamia kweli hadi mama mwenye nyumba anakubali. Siku baba ukitaka kumfukuza housboy utaona mama anavyojipinda kumtetea, hapo ujue tayari

Tena wamama wa kichaga ndo wanapenda sana kusuguliwa na mashamba boy wao wale wanaowasaidia kuchunga "nguruwe"ngómbe etc. We mume unajidai ooh nipo bize dukani sijui kazini ukirudi haumpi mama haki yake. Utashangaa na roho yako

Ha ha ha ha ha ha LMAO..!!

Sent from my iPad Air using JamiiForums mobile app
 
Basi kama vipi anzisheni CHAMA CHA MA-HOUSEBOY/MA-SHAMBA BOY TANZANIA tujue moja na menyekiti wenu awe EMMA MBA-ASHA
 
"Women are so Complicated"
Wanawake huwa wanaongea vitu
'Kirahisi-rahisi tu' lakini huwa
vinamaanisha 'Vitu Vigumu Ajabu'
Wanawake wanaweza kukwambia
"Mi nataka Mwanaume anipende
tu BHAASSS!!Ukidhani kwamba
Upendo wako unatosha kwake
UTAKUWA UMEFELI
Wanawake wanahitaji vitu 4 na
vyote VIENDE KWA PAMOJA
(Perpendicularly),vitu hivyo ni
1.HELA 2.GOOD SEX 3.CARING
MAN 4.MUDA
Kuna Wanaume wanajua "Kukaza
vizuri" mwanamke anatosheka,na
wana hela ila WAKO BUSY...Hii
factor ya wewe kuwa Busy tu
itamfanya mtu mwingine mwenye
Muda "Amkaze kiulaini kabisa"
halafu wewe utashangaa..."Mke
wangu nampa kila kitu,hela za
kila kitu nampa..YES,Amekaa
muda mrefu uko bize unasaka
hela na adui namba 1 wa
Mwanamke ni LONELINESS....
A lonely Woman can easily be
trapped by anyone..hata
Houseboy akimpa ATTENTION
endlessly anakula mzigo
Unataka Mwanamke awe wako
peke yako???Fuata kanuni ya
KIBIBLIA, ishi nae kwa akili....Mpe
MUDA..Mpe HELA...Mpe Kisago
kitandani...Mpe CARE na
ATTENTION
Sikiliza maneno ya Nabii Mimi hapa
uyatendee kazi,maana TB JOSHUA
hatakwambia haya KAMWE!
Nimemaliza na Sirudiiiii
 
"Women are so Complicated"
Wanawake huwa wanaongea vitu
'Kirahisi-rahisi tu' lakini huwa
vinamaanisha 'Vitu Vigumu Ajabu'
Wanawake wanaweza kukwambia
"Mi nataka Mwanaume anipende
tu BHAASSS!!Ukidhani kwamba
Upendo wako unatosha kwake
UTAKUWA UMEFELI
Wanawake wanahitaji vitu 4 na
vyote VIENDE KWA PAMOJA
(Perpendicularly),vitu hivyo ni
1.HELA 2.GOOD SEX 3.CARING
MAN 4.MUDA
Kuna Wanaume wanajua "Kukaza
vizuri" mwanamke anatosheka,na
wana hela ila WAKO BUSY...Hii
factor ya wewe kuwa Busy tu
itamfanya mtu mwingine mwenye
Muda "Amkaze kiulaini kabisa"
halafu wewe utashangaa..."Mke
wangu nampa kila kitu,hela za
kila kitu nampa..YES,Amekaa
muda mrefu uko bize unasaka
hela na adui namba 1 wa
Mwanamke ni LONELINESS....
A lonely Woman can easily be
trapped by anyone..hata
Houseboy akimpa ATTENTION
endlessly anakula mzigo
Unataka Mwanamke awe wako
peke yako???Fuata kanuni ya
KIBIBLIA, ishi nae kwa akili....Mpe
MUDA..Mpe HELA...Mpe Kisago
kitandani...Mpe CARE na
ATTENTION
Sikiliza maneno ya Nabii Mimi hapa
uyatendee kazi,maana TB JOSHUA
hatakwambia haya KAMWE!
Nimemaliza na Sirudiiiii
Kijana upo smart sana..nimepata ujumbe kwako nabii wewe
 
Mtaani utakamatwa wewe...hata ujifiche vipi...lakini ndani akukamate nani?....eehhhh...mtenda akitendwa...lol

Wanavyokula ma hg...teh teh teh ...

Tit for tat

House boy kabisa!!!
Mbona akiamua kuchepuka wako wengi tu huko mtaani wenye muda,house boy inakuwa kama unambaka maana ana hofu yuko na big boss!
 
Umemaliza na kweli usirudie....

"Women are so Complicated"
Wanawake huwa wanaongea vitu
'Kirahisi-rahisi tu' lakini huwa
vinamaanisha 'Vitu Vigumu Ajabu'
Wanawake wanaweza kukwambia
"Mi nataka Mwanaume anipende
tu BHAASSS!!Ukidhani kwamba
Upendo wako unatosha kwake
UTAKUWA UMEFELI
Wanawake wanahitaji vitu 4 na
vyote VIENDE KWA PAMOJA
(Perpendicularly),vitu hivyo ni
1.HELA 2.GOOD SEX 3.CARING
MAN 4.MUDA
Kuna Wanaume wanajua "Kukaza
vizuri" mwanamke anatosheka,na
wana hela ila WAKO BUSY...Hii
factor ya wewe kuwa Busy tu
itamfanya mtu mwingine mwenye
Muda "Amkaze kiulaini kabisa"
halafu wewe utashangaa..."Mke
wangu nampa kila kitu,hela za
kila kitu nampa..YES,Amekaa
muda mrefu uko bize unasaka
hela na adui namba 1 wa
Mwanamke ni LONELINESS....
A lonely Woman can easily be
trapped by anyone..hata
Houseboy akimpa ATTENTION
endlessly anakula mzigo
Unataka Mwanamke awe wako
peke yako???Fuata kanuni ya
KIBIBLIA, ishi nae kwa akili....Mpe
MUDA..Mpe HELA...Mpe Kisago
kitandani...Mpe CARE na
ATTENTION
Sikiliza maneno ya Nabii Mimi hapa
uyatendee kazi,maana TB JOSHUA
hatakwambia haya KAMWE!
Nimemaliza na Sirudiiiii
 
eeeehhhh na wenye vitambi tumewajua kwa miandiko yao...mtaenda gym mwaka huu...
 
We mzee mwenye nyumba umekalia pombe na nyama choma wengine mipira ya Premier league ukirudi upo bize na laptop unajidai upo bize.

Hata ukipewa game full kulalamika eti umechoka, kimoja hoi. Mwenzio houseboy yupo home saa zote wife akirudi amechoka anaanza kwanza na Salaam Shikamoo Mama.

Pole anampokea begi anamuandalia juice maji ya kuoga sasa siku anatunukiwa papuchi anapiga papuchi kama hana akili nzuri.
Okay
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom