love more than100
JF-Expert Member
- Jan 27, 2014
- 2,061
- 715
House boy kabisa!!!
Mbona akiamua kuchepuka wako wengi tu huko mtaani wenye muda,house boy inakuwa kama unambaka maana ana hofu yuko na big boss!
Weee wacha hii mamboo h/boy anapiga vilivyoo au upate watchman na awe yeerooo hapa weee asikuambie na kukudanganya mtu hawa ndio wanaofaidi mali za mapendeshee walio busy.