Kwangu Mimi cheating ya mtu ambae wana relate naweza kuelewa kabisa ...sasa houseboy wanaongea nini?zaidi ya kuvua nguo tu na ku sex? More of a penis for hire...that is low... Unless huyo mke wangu nae ni housegirl ndo ntaelewa..
na mwanamme wa kutembea na house gal vipi ana dawa?
Mtu Kula housegirl au kuliwa na houseboy ni uchafu tu.... Hauna justifications
Mtu Kula housegirl au kuliwa na houseboy ni uchafu tu.... Hauna justifications
Watu hucheat (na hata kuwa tu na mahusiano ya kujamiiana) kwa sababu wanazozijua wenyewe aisee. Ukianza kujaribu ku-make sense of it unaweza usipate jibu.
Sasa 'relatability' unayoizungumzia wewe sijui ni ipi maana waweza kukuta huyo 'houseboy' ana body ambayo mkeo anaizimia.
Au waweza kukuta huyo mkeo anaipenda sana sense of humor ya huyo 'houseboy'. Au huyo 'houseboy' anaweza akawa na busara/ common sense ambayo mkeo anaipenda na inamfanya avutike kwa huyo 'houseboy'. Kwa sababu kisa tu mtu ni 'houseboy' hiyo haimaanishi kwamba hawezi kuwa na busara za maisha kwa ujumla.
Ku-relate na mtu si lazima muongelee mambo ya NASDAQ Stock Market au FTSE 100 Index. Mnaweza hata kuwa mnataniana mambo ya kawaida tu na mka-relate na vile unavyomchekesha mwenzako ndo anaanza ku-catch feelings za kimapenzi na wewe. Nadhani utakubaliana nami kuwa haya mambo hayafuatagi kanuni.
Waambie hao na wajue tulitoka makwetu kuja kufata mtarimbo na si funiture zao na mali zao. Tunataka mchezooo wa baba&maa~maa.
ivi ukisha mla mkeo mpaka umekinai, ni dhambi mwingine kula??
Mmmmmmmmh!
Waambie hao na wajue tulitoka makwetu kuja kufata mtarimbo na si funiture zao na mali zao. Tunataka mchezooo wa baba&maa~maa.
kwa kweli kwa mke wa mtu kutembea na houseboy utakuwa umedhalilisha familia yako kwa ujumla
u have impressed me to the maximum. shikamoo madam, pole na uchovu wa kazi.:embarrassed:
mkuu kama umeoa hii kauli laiti angeiona mkeo
Ha ha haaaaa Kaveli maa~haabaaaaa!
Hana dawa naye
sawaaaaa nlifikiri ye anayo