Ma genius mkuje huku

D, 2000 ya mkate, 8000 chenji ya mteja na 10000 feki jumla 20000
 
D
Mkate wa dogo. 2000
Chenchi uliompa dogo 8000
Hela uliomrudishia duka jiran 10,000

Jumla hasara 20,000

sent from iPhone 7+ using jamii forums mobile app
umekosa kumbuka jirani alikupa 10000 ya chenji.
 

Sasa hiki ulichokiandika kina connection gani na neno lako la ' Genius ' ulilolitumia katika headline yako? Hebu tulitendee haki basi hilo neno ' Genius ' kwani kwa siku za hivi karibuni naona Watu tunalitumia ndivyo sivyo na sehemu isiyostahili kabisa. Ukiangalia kwa umakini kabisa maana nzima ya neno ' Genius ' ni tofauti na unavyotaka kutulazimisha kuwa ndivyo ilivyo.
 
Kwani neno genius linatumika wapi? Nawewe umeelewaje?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hasara ni 10000.
Yani ni sawasawa mtu aje akupe 10000 feki yani haina thamani yani sawasawa hajakupa kitu halafu wewe unampa 8000 na mkate wa 2000 bure.
Inamaana umepata hasara ya 10000.
Simple.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hasara ni 20000

8000 change + 2000 mkate + 10000 uliyomrudishia jirani yako
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…