Dejane
JF-Expert Member
- Jan 1, 2014
- 51,103
- 72,545
Nakutanaga nao sehemu nyingi tu wanaume kwa wanawake,,unakuta mtu kajipara lakin kikwapa mmhAkina nani hao?
Nakutanaga nao sehemu nyingi tu wanaume kwa wanawake,,unakuta mtu kajipara lakin kikwapa mmhAkina nani hao?
hiyo elfu tatu ni budget ya milo mingapi?Tsh 3,000
Nakutanaga nao sehemu nyingi tu wanaume kwa wanawake,,unakuta mtu kajipara lakin kikwapa mmh
EeeeWe kikwapa chako kisafi?
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]SAWA NA WEWE WAAMBIE WADADA WENZAKO NAO USAFI CHINI MUHIMU UNAKUTA DEMU VUZI LIMEFUBAA LA NJANO KA PILAU LA KIPAIMARA
Eeee
Hakika Bibi yko angekimbia jasho la Babu yko ucngekuwepo ww leo, maana naamin izo pafyum hazkuwepo kipind hichoHivi mkaka wewe uko single huu si ndio muda wa kujipenda na kupendeka? Imekua unamtoa a lady kwa mtoko wa chakula cha jioni, ile mmekutana tu casual hug ma ma mama we, akiinua kwapa hilo jasho utafikiri mchanganyiko wa harufu wa nyoka aliejivua gamba na panya aliyekufa.
Sasa kama kitu kama View attachment 606404
hiki kinakushinda ukiwa single ukishaoa utavimudu kweli? Msipopigiwa simu kesho yake mnadai mwanamke anatamaa napenda wanaume wenye pesa. Kwakweli hatukimbii hali ya maisha ila kuna wakati tunakimbia harufu ya jasho.
Hilo nalo neno mkuu.Hakika Bibi yko angekimbia jasho la Babu yko ucngekuwepo ww leo, maana naamin izo pafyum hazkuwepo kipind hicho
Na mwanmke inatkiwa uonyeshe uvumilivu hat kabla ya ndoa ss km harufu ya jasho tuu inakutesa je njaa ndan ya familia utaizoea kwel
Wanasema zinasababisha cancer eti.Hivi mkaka wewe uko single huu si ndio muda wa kujipenda na kupendeka? Imekua unamtoa a lady kwa mtoko wa chakula cha jioni, ile mmekutana tu casual hug ma ma mama we, akiinua kwapa hilo jasho utafikiri mchanganyiko wa harufu wa nyoka aliejivua gamba na panya aliyekufa.
Sasa kama kitu kama View attachment 606404
hiki kinakushinda ukiwa single ukishaoa utavimudu kweli? Msipopigiwa simu kesho yake mnadai mwanamke anatamaa napenda wanaume wenye pesa. Kwakweli hatukimbii hali ya maisha ila kuna wakati tunakimbia harufu ya jasho.
Ila zipo ambazo zina nafuu.ngoja nifuatilie hilo mkuu lakini kwanini bado zinauzwa? Sigara inaleta cancer ya mapafu na tumeshapewa maonyo.
wazuri hawa wanaojamba hovyo kwenye daladala?Si ndiyo maana wazuri utaishia kuwaita mashemeji.
Pole sana kwa yaliyokupata je ulimuambia hali hiyo??Vipi kuhusu wadada wanaotema hilo jasho kama bomba la mvua??Hivi mkaka wewe uko single huu si ndio muda wa kujipenda na kupendeka? Imekua unamtoa a lady kwa mtoko wa chakula cha jioni, ile mmekutana tu casual hug ma ma mama we, akiinua kwapa hilo jasho utafikiri mchanganyiko wa harufu wa nyoka aliejivua gamba na panya aliyekufa.
Sasa kama kitu kama View attachment 606404
hiki kinakushinda ukiwa single ukishaoa utavimudu kweli? Msipopigiwa simu kesho yake mnadai mwanamke anatamaa napenda wanaume wenye pesa. Kwakweli hatukimbii hali ya maisha ila kuna wakati tunakimbia harufu ya jasho.
Hivi mkaka wewe uko single huu si ndio muda wa kujipenda na kupendeka? Imekua unamtoa a lady kwa mtoko wa chakula cha jioni, ile mmekutana tu casual hug ma ma mama we, akiinua kwapa hilo jasho utafikiri mchanganyiko wa harufu wa nyoka aliejivua gamba na panya aliyekufa.