Sky Eclat
JF-Expert Member
- Oct 17, 2012
- 58,639
- 220,421
Hivi mkaka wewe uko single huu si ndio muda wa kujipenda na kupendeka? Imekua unamtoa a lady kwa mtoko wa chakula cha jioni, ile mmekutana tu casual hug ma ma mama we, akiinua kwapa hilo jasho utafikiri mchanganyiko wa harufu wa nyoka aliejivua gamba na panya aliyekufa.
Sasa kama kitu kama
hiki kinakushinda ukiwa single ukishaoa utavimudu kweli? Msipopigiwa simu kesho yake mnadai mwanamke anatamaa anapenda wanaume wenye pesa. Kwakweli hatukimbii hali ya maisha ila kuna wakati tunakimbia harufu ya jasho.