Yule mchina alikuacha?Hivi mkaka wewe uko single huu si ndio muda wa kujipenda na kupendeka? Imekua unamtoa a lady kwa mtoko wa chakula cha jioni, ile mmekutana tu casual hug ma ma mama we, akiinua kwapa hilo jasho utafikiri mchanganyiko wa harufu wa nyoka aliejivua gamba na panya aliyekufa.
Sasa kama kitu kama View attachment 606404
hiki kinakushinda ukiwa single ukishaoa utavimudu kweli? Msipopigiwa simu kesho yake mnadai mwanamke anatamaa anapenda wanaume wenye pesa. Kwakweli hatukimbii hali ya maisha ila kuna wakati tunakimbia harufu ya jasho.
Wanaume kwa wanawakeKuna watu wananuka kwapa jamani,,,
Agreed mkuuUnafikiri watakwambia? Si ndio hawa wanakuja kulalamika huku. Btw kutumia deo au cologne sio lazima uwe unanuka kwapa, kujipa fresh smell pia si vibaya.
Mkuu ulijaribu Mlimani City? Huku kwetu Kwamtogole bidhaa hizo haruzishobokei kivile. Ile mitaa ya Morogoro Store pia kuna boutiques wanauzaAgreed mkuu
Nielekeze basi ntapata wapi ile perfume ya INVITATION Sky Eclat naomba unisaidie pia mama, nipate hiyo perfume niliwahi kuitumia miaka mitatu iliyopita mpaka leo bobo lake nnalo.. ilikuwa mpaka watu ofisin wananisifia kila saa... ilipoisha ndo sijawahi kutumia tena perfume..
Naona unatangaza biashara kijanja eehh??Hivi mkaka wewe uko single huu si ndio muda wa kujipenda na kupendeka? Imekua unamtoa a lady kwa mtoko wa chakula cha jioni, ile mmekutana tu casual hug ma ma mama we, akiinua kwapa hilo jasho utafikiri mchanganyiko wa harufu wa nyoka aliejivua gamba na panya aliyekufa.
Sasa kama kitu kama View attachment 606404
hiki kinakushinda ukiwa single ukishaoa utavimudu kweli? Msipopigiwa simu kesho yake mnadai mwanamke anatamaa anapenda wanaume wenye pesa. Kwakweli hatukimbii hali ya maisha ila kuna wakati tunakimbia harufu ya jasho.
Daah ila itanisubiri kwanza mshahara uongezeke maana nimei google tu hapa bei inaniambia itapatikana kwa sio chini ya laki na ishirini hiviMkuu ulijaribu Mlimani City? Huku kwetu Kwamtogole bidhaa hizo haruzishobokei kivile. Ile mitaa ya Morogoro Store pia kuna boutiques wanauza